Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

Hayo yote sawa lakini kuchoma kanisa hapana, hiyo haikubaliki hata kidogo!kanisa linahusiana vipi na siasa au muungano?hivi wakristu wakijibu kwa kuchoma misikiti itakuwaje??siasa zifanywe kama siasa na dini ziachwe kama dini!!

Kama mna uwezo wa kuchoma hapa Zenji fanyeni muone, watu wenyewe tumewakaribisha huko Zenji alafu mjifanye mnahaki sawa na wenyeji weee jaribu uone.
 
Ingekuwa huku wangesingizia vijana wa chadema na huko je si vijana wa cuf hao?
 
Muda mrefu watu wametoa mawazo mazuri kmf jaji kisanga hata humu jf, Kwamba kuwepo serikali tatu au Huu Muungano Ufe!
Lakini kutokana na hawa wasiasa badala ya kulinda maslahi ya umma wanalinda maslahi ya matumbo yao, Ambayo Mungu amesema atavitowesha!
Sasa kutokana na kutokuwa WASIKIVU MTAVUNA MLICHO KIPANDA!
Na msipo chukua hatua sahihi leo! The Hague njia nyeupe haina shimo wala kona!
 
Jamani muungano umezua vita ZNZ baada ya jana J'moc wa2 wanaoupinga muungao kuandamana.
Hii imepelekea kukamatwa kwa wakuu wa maandamano leo na kuwekwa ndan.
Hivyo wafuac wao hawakukubl na walikwnda kufanya vurugu.hapo ndipo waliporushiwa mabomu na askar wny hacra zao wa F.F.U.(Fanya Fujo Uone).mabomu hayo ya machoz yalipgwa Darajan(km Kariakoo) na sehemu za karibu ambapo imesababsha kufungwa kwa maduka na kuzorota kwa biashara zte..na mpk sasa bdo vurugu linaendelea...
JE 2NAJENGA 2NABOMOA?!C 2TAUWANA KWA MUUNGANO NA WAANZILISH WASHAKUFA!!!
 
Huu mkoa una matatizo sana, ilipaswa wapelekwe wakurya wengi zaidi kule kuweka mambo sawa kwa kutumia virungu na mabomu ya kutoa mchozi.

Hawa akina Yakhe ni wabaguzi na wadini sana

MIMI NAKUUNGA MKONO KABISAA. HAWA WAZANZIBARI KUCHUKIA KANISA KUNA MAANA YA KUWA DINI YA KIKIkristo ndio kero yao. Tanganyika tuwafanye wanzanzibari kama muisraeli anavyo wafanya wapalestina.
 
Unajua wakati mwingine huwa najiuliza fikra za jamii yetu in general maana hata sielewi maamuzi yetu kama huwa tuna fikiria na implications zake za baadae. Hivi hawa wanataka ZNZ au Udini ndio tatizo kuu hapa?

j8NeMnNPnNhIAAAAABJRU5ErkJggg==


Maana kuna bendera hapo za maandishi ya kiarabu hata translation yake sijui inahusu nini. Jamani hawa watu hata wakipewa ZNZ kesho ujue wataendeleza vurugu zao tu huko huko ZNZ wao wanachotaka ni Islamic state with Islamic conservative values lakini amna madai asilia ya kuweza kuvunja muungano. Kwa maana hiyo madai ya kuvunja muungano ni stepping stone ya agenda zao.

Tunaweza tusione tatizo zanzibar eti waachwe wajiamulie, lakini kialisia kuna wale wasiotaka muungano pia lakini ni secularist, sasa baadae hawa wenyewe kwa wenyewe ujue watakuja kutofautiana namna ya kuingoza ZNZ ndipo hili jipu litakapo pasuka na kuturudia sisi. Tukiwa kama majirani itatulazimu tena tuchukue wakimbizi kutoka huko god knows for how long au hata kama watarudi tena.

Amna mtu mwenye shida na ZNZ yao lakini hawa jamaa lazima wakomeshwe kwa sababu haya si madai ya msingi bali ni watu ambao wanatengeneza time bomb, kesho hawa watadai kesi za blasphemy huko ZNZ na mengineo ya udini, maana kanisa linahusiana nini na siasa za ZNZ. Something has to be done na Seif Hamad lazima hawakane hawa na aungani na namna zao hii si kusema natetea muungano hila kuwa responsible onlooker tu.
 
Tunasema tena na tunasisitiza kwamba UAMSHO haihusiki na uchomaji moto wa Makanisa, kwasababu tayari kumekuwepo na hila za Wakristu tokea harakati za Uhuru wa Zanzibar kunza na wamekuwa wakifanya hila nyingi ili waonekane wanatengwa na kubughudhiwa na hata kuyachoma moto makanisa yao wenyewe (mfano kanisa la mwera wilaya ya magharibi) na kuwashtumu waislam kumbe walikuwa wantaka msaada wa kulitanua.

Hili tokeo la jana ucku tayarii tuna kila aina ya ushahidi ya kuwa wao wenyewe (wakristu) ndio walichoma moto kanisa lao kwa kutumia vurugu zile na kuwataja waislam kama ndio walochoma, huu wa wakristu ni upuuzi wala hauingii akilini kwanza, kwa kuzingatia kanisa lipo kwenye kambi kuu ya polisi, na pia kama kweli waislam walikusudia kuchoma moto basi lisingali baki hata udongo, lakini cha kushangaza mara baada ya moto dakika chache fire walikuja kuonesha kuwa ni mbinu ilioratibiwa vizuri na hasa ukichukulia masafa ya kambi ya fire iliko si rahisi hata kidogo kuwahi kuuzima moto huo.

Na ikiwa wakristu wamechoka kuishi na wazanzibari bora warudi huku Tanganyika wasisababishe uvunjifu wa amani na vijikesi vya kipuuzi kama hivi.

Waambie ndugu zako walisambaa Tanganyika nzima waanze kurudi mapema, soon and very soon tutalianzisha; kwani tutapata urithi wa vijiduka.........!!!
 
Wazanzibar wanahaki yao nawanaijua cc wadanganyika ni wapiga porojo tu na watu wakulialia bila kuchukua hatua haya sasa
 
eapot iko salama kwa matumizi ya kesho?

Usalama kwa ujumla kwa wananchi ukoje?
 
poleni, ila hao wanaong'ang'ania muungano wanafaidika na nini?

Vilevile mlitafakari hasara na faida ya kujitenga?

Halafu hizi serikali huwa zinawekwa na wananchi au zinawekwa na nani? Kwa nini hawasikilizi matakwa ya watu wao????
 
na wakwendeeeeeeeeeeeeeeeeeee,kwanza wazanzibar wakikutana na sie watanganyika....wanaonyesha nyodo sana,waishie zao huko....
 
Back
Top Bottom