Mangaline
JF-Expert Member
- May 19, 2012
- 1,045
- 221
Hiyo ni demonstration. Binadamu anapo nyanyaswa sana, huonyesha hisia zake kwa namna tofauti, hata kama njia hiyo anayoitumia haina tija. Kikwete lazima sasa akubali Muungano ujadiliwe katika Tume ya kukusanya maoni ya Katiba, vinginevyo ajiandae kumwaga damu kama alivyofanya mtangulizi wake "mmwagaji damu mkuu" Mkapa