vurugu zaibuka kati ya kantalamba sec na sumbawanga TC

malafyaleh

Member
Dec 20, 2011
10
1
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. maana ni shule nzima ilivamia chuo.
 
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. maana ni shule nzima ilivamia chuo.

Nyie badala ya kusoma mnaenda disco/kupigana kunywa pombe,basi mtavuna sawa sawa kile mmepanda ongezeni bidii
 
Mgogoro wa hapo huwa ni balaa, maana walimu wa kike huwa wanajirahisisha kwa A level wa kantalamba sec
 
Vurugu za kijinga kabisa,ingekuwa mnataka mazingira bora ya kujifunzia ama vifaa bora ningeona mko critical,ngoja wawafukuze tuone kama hamjaenda kupiga magoti kwa RC kama wale wa Songea Tc,zingatieni shule madogo huku mtaani hapafai ukiwa kilaza,utaishia kutimuliwa vumbi la wasomi wakiwa katika magari yao,huyo demu hatawapa ufaulu,sana sana maradhi tu!
 
Kweli Sumbawanga mnaishi maisha ya long time kishenzi, fujo hizo zilifanywa Tambaza long time kishenzi, pia Iyunga sekondari, baada ya zama zile kuisha, huko kwenu ndio zimaanza
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. maana ni shule nzima ilivamia chuo.
 
is it serious kwamba mwalim wa ke akamtamani mwanafunzi? ama kweli waalim tunajidhalilisha. Nijuavyo mimi hata ama ni waalim wa cheti hawapaswi kwend disco na wanafunzi hata kama ni wa advance. Kwa mtazamo wangu wanapaswa wawe watu wenye maadili sana hasa wakati wapo shuleni na kama ni mambo ya sociolize basi watafutiwe waalimwenzao au wawe peke yao. Kuna hatari hapa ya moral decay ambayo tena kwa waalim wa umri huu mdogo inabidi iangaliwe sana. siku hizi sasa itakuwa ni poa kama mwalim dada atatembea na mwanafunzi kaka. jamani maadili yanaelekea wapi?....................nasikia kuumwa presha eti wanafunzi wanafanya fujo pamoja na waali kisa mwalim demu? kuna haja ya kuwa na bodi ya waalim sasa
 
kwanza klabda mtoa mada hebu tuambie hao walikuwa disco la kichuo au la kishule au la kitaa?
 
Vijana mna kazi. Badala ya kupigania elimu, mwapigania wasichana. Mwisho wa siku ni kuanguka.
Fanyeni chaguo jema, vurugu si wakati wake huu.
 
babkey umeona eeh!!!!!!!!!!!!!! sasa hapo pana waalim sijui watakuja kufundisha watoto wa nani kwa stail hii. binafsi imeniharibia mood kabisa hii thread manake ni mwalim na huwa naipenda sana na kuiheshim hii kazi lakin sijui ni kwanin watu wengine wanaiona kama ni kazi ya kufanyia uhuni uhuni tu.
 
Nilijua tu "demu" lazima ahusike hapo......anyway mkikua mtaacha........mod plizz movisha hii thred
 
Enye wanafunzi mngelijua maisha ya uraiani yalivyo magumu mngeenda kuvunja hizo kumbi za starehe na sio chuo kumbukeni mkitoka shule hivyo vyuo ndio mnavitafuta.Enzi zetu mwanafunzi alisifiwa kwa kuwa na akili sio kuwa na demu.
 
Oooh my lovely school kantalamba! Kipindi kile ninasoma hapo ugomvi mkubwa wa kantalamba na hicho chuo cha ualimu ni kuja kuchota maji kwenye kisima chetu na wao kwenda kwenda kwenye disco lao. In those days ndani kantalamba. sec.
 
Hee kumbe kuna chuo kinapakana na sekondar yangu! Niliposoma hapo 1969 - 1973 enzi za Headmaster Father Matipa hapakuwa na chuo.
 
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. Maana ni shule nzima ilivamia chuo.

hawa ni wapumbavu sana, hv miaka hii kuna kugombea demu?? Huyo ni mwalimu soon ataingia mtaani kutufundishia watoto. Laana malaniwa
 
Eti wamepigana kisa ni nini?

Wameenda disko na mmoja wao na demu wake wakavamiwa na wanafunzi wenzao na kunyang'anywa simu.
Hili jibu haitapendeza hata mbele ya wazazi na walimu wao na hata jamii inayowazunguka.
Hili Mi sijalifagilia hata kidogo.

Lakini ugonjwa mwingine mbaya ni kuitwa mwanafunzi yani hata ukiwa na ukubwa gani yani mambo yako hayatakuwa tofauti na mtoto wa fist class!

Walichofanya Mi siungi hoja mkono hata kidogo!
 
is it serious kwamba mwalim wa ke akamtamani mwanafunzi? ama kweli waalim tunajidhalilisha. Nijuavyo mimi hata ama ni waalim wa cheti hawapaswi kwend disco na wanafunzi hata kama ni wa advance.
gfsonwin unafikiri hawa wanafunzi wa vodafasta sawa na walimu wa enzi zetu...enzi zetu mwalimu alikuwa ni kioo cha jamii...siku hizi hawa vodafast ndo kwanza wanashindana kuvaa vitop na milegozo na wanafunzi wao....usitegemee kitu hapo
 
Last edited by a moderator:
nyie piganeni mfukuzwe chuo huku mafisadi yanaendelea kufaidi nchi yenu nyi mkikosa elimu an mkumbuke mchuma janga hula na wakwao
 
Back
Top Bottom