Vurugu za Zanzibar na Dar - Predicted Govt failure

The higher the jobless rate the higher the crime & chaos rate

Sasa kwanini walimpinga Lowassa?!?

Natamani mmoja atokee aseme sorry Lowassa was right.

Wewe una kazi yako utaandamana saa ngapi suitengeneze hela?
 
Naunga mkono mada. mimi ni mkristu na ninao marafiki zangu wengi tu ambao ni waislamu. Tunapendana , tunaheshimiana na kusaidiana panapokuwa na shida. Hata girl friend wangu ni muislamu safi. Na hatubaguani.
Huku tunapoishi mitaani tupo tumechanganyikana madhehebu yote waislamu na wakristu.
Ndiyo maana ktk uchaguzi wa mwaka 2010 wakati wa kampeini JK alipoueleza ummawa watanzania kuwa kulikuwa na harufu ya udini kila mtu alishangaa na kusema kuwa pengine huo udini ulikuwa ktk ngazi ya kitaifa tu na si huku kwetu ktk ngazi ya chini.
Baadaye ilikuja kubainika kuwa ulikuwa ni wasiwasi wa Jk kushindwa ktk uchaguzi kwa kufikiri kuwa Dr. Slaa angepigiwa kura nyingi na wakristu. Ambapo ilikuwa ni kinyume kwa kuwa ni wakristu wengi waliompa kura.
Ukweli ni kwamba mihadhara imekuwepo tangu miaka mingi kufikia hata hatua ya kuchambua biblia takatifu hadharani huku wanaoiendesha wakijua fika kuwa ni kubughudhidini ingine kwa kuwa kitabu rasmi cha waislamu ni Quran takatifu na si biblia.
Twapaswa kujua kuwa ni uvumilivu wa wakristu ndiyo maana leo nchi ina amani pasipo vita ya kidini ambapo wameweza kuvumilia yote hayo. Kwani kwa wakristu kudhubutu kuchambua Quran waislamu wasingevumilia pangekuwa pameshachimbika.
Waislamu wenye nia njema na nchi hii wanapaswa kujua kuwa sisi wote adui yetu ni mmoja tu ambaye ni Serikali ya CCM iliyotufikisha hapa kwenye umaskini na dhuluma kwa kupora raslimali zote za nchi hii kwa faida ya kikundi cha wachache na watoto wao. Huku wakijiona kuwa ndio wenye haki pekee ktk nchi hii.
Wote tunatakiwa kuunganisha nguvu kuleta mabadiliko kwa faida ya wote. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mojawapo ya ahadi ya mkuu ilikua ya kidini..... Mahakama ya kadhi.

Katiba mpya ipinge ahadi za kidini au kikabila zisizo za kitaifa kwenye kampeni ya urais!!
 
Nimesikitika kuona pamoja na vurugu zote hizi wanajeshi hawaja mlamba mtu shaba
 

Tatizo ni hilo tuu? hivi serikali ni nini? sisi wananchi hatuna role yoyote? mimi naona watanzania tunapenda kuiga mno! Mwalimu aliwahi kutoa mfano wa mtu mwenye almasi anavyoweza kudanganywa na tapeli mwenye kipande cha chupa wakabadilishana kiulaini!! sisi watanzania tulikuwa na almasi yetu iitwayo "Amani", wamekuja wapuuzi wametwambia ni feki, tumekubali sasa imetoweka, tuanaaanza kutafuta sababu oh, ajira, ooooh serikali dhaifu, oooooh blah, blahhhh, tutazitoa sana but, the beautiful peaceful TZ we had is no longer!! issue ya Zanzibar tayari ipo Aljazeera, ngoja tuone hiyo kesho Dar!

kwamba tatizo ni kazi si sababu pekee maana hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kutoa kazi kwa kila mtu ata USA si wote waliosoma wana kazi! I am out!

Ni dhahiri there is natural level of Unemployment but for Tz this problem become cronic! To worsen the matter we experiencing STAGLATION! Meaning both increase in inflation and unemployment simulteneously! Ungozi dhaifu siku zote hujidhirisha kwa mapungufu yake! Kweli wamechemka!
 
Hivi nilisikia baraza la mawaziri linakaa kujadili nini kimeafikiwa? Wamwagwe wanajeshi mtaani?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom