Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

uamsho si waislam
tusipakaziwe na tusipewe propaganda na dini yetu

Wewe unauwelewa kamili kweli? Hii ni jumuia ya kiislamu JUMIKI (Jumuia ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu au The Association of Islamic Mobilisation and Propagation). Sasa unataka kutuaminisha kuwa Jumuiya hii inawajumbe na viongozi ambao si waislamu????
 
Wananchi legelege huchagua viongozi legelege na kuongozwa na serikali legelege..
 
Kwa kila mtaka amani, na tumuombe mungu wetu wa amani majumbani, na kwenye nyumba za ibada, hata dk kumi kila siku! Shetani atashindwa tu, alishindwa kwanza na atashindwa milele, huyu ni shetani anataka kupandikiza chuki na kutaka kuona damu ikimwagika tanzania!
 
Walaaniwe sana hawa wana uamsho. Lakini isije kuwa ni utekelezaji wa kauli ya Manumba kivitendo. R.i.p mjeshi.
.
 
Taarifa nilizopata leo ni kuwa katika vurugu jana Askari Polisi mwenye cheo cha Koplo amechinjwa jana na Waandamanaji wa Uamsho..
Aliyeko Zanzibar anaweza Kutupa Habar zaid


Nawapa pole wahanga wote wahaya machafuko.Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Afrika.AMINA
 
Ndo maana mi nasema cuf ni janga kwa taifa letu, watu wao wa uamsho wamechoma makao ya ccm. Eti wanadai zanzibar huru, labda wanataka zanzibar iwe kama somalia! Poleni sana wazanzibar kwa kukaribisha ugaidi!
 
tumeshaonya mara kwa mara huko nyuma kwamba hizi dini za kigeni hazitufai sasa matokeo ya uamsho ni chuki kwa ukristo mwenye macho na atazame.
 
Walikuwa wanawalea wenyewe! Tulishamwambia JK hapa anatengeneza bomu la kumuua yeye mwenyewe. Anacheza na Udini anaoupanda!


Mkuu mbona hausomeki?JK na UAMSHO wanaotaka muungano uvunjike kuna uhusiano gani? Isitoshe wenzetu huko visiwani wanaserikali yao kwanini usimlaumu Dr Shein kwa hili?
 
Hii sasa nadhani itawaamsha polisi na serikali kuhusu kundi hili la kigaidi maana wamelilea sana. Wangechinja hata polisi kumi na kuchona maskani zote za ccm maana walijitia ukiziwi na upofu tulipokuwa tunatahadharisha.
kumi ni wachache sana mkuu ungesema angalau mia moja nadhani ingeleta busara na uwajibikaji.
 
Funzo jingine hilo kwa Waislam. Vikundi vya kigaidi kama UAMUSHO na PONDA vikishika kasi, hakuna atakayekuwa salama, uwe mkristo muislam au huna dini.

Tushiriki kikamilifu kwenye mabadiliko ya katiba, ili Rais mzembe au anayepalilia utengano wa kitaifa aweze kushtakiwa. Kwa mauaji yeyote yale ya kidini, ni lazima JK ashtakiwe kwa kuwa ameyalea, ameyapalilia na anaendelea kuytunza akisubiria mavuno.

Watanzania inabidi watafakari kwa makini, Urais siyo wa kumpa kila mtu, eti kwa sababu tu mnakula naye mishkaki, ni mtu wa watu, anacheka na kila mtu, sasa gharama yake tunaiona.

Sasa huyo said si muislamu mwenzao?
 
Imani za kuiga zisitufikishe tulipo. Uislamu na Ukristo zote naita umani za kuiga kwa sababu kabla ya kuletewa, kulikuwa na imani za kwetu. Nani mwenye uthibitisho wa kisayansi kuwa imani ipi ni sahihi na ipi si sahihi? Wageni wametufikisha pabaya na wanachekelea ujinga wetu.
 
la msingi ni kusort out vijana wasiokua na kazi wa jamii ya wapemba na kuwarudisha kwao wiki iliyopita nilishuhudia vijana wengi sana wakielekea Unguja nadhani ilikua ni kujiandaa kwa yanayoendelea ukiwauliza wanakwmbia wanaenda kwa shuhuli maalum
 
Hata panya hujipitisha Sebuleni ili ajulikane... So Uamsho wameua ili nao wajulikane
 
Back
Top Bottom