Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

Wassira alimjibu Mbowe ( Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni) kuwa hakuna udini wanaosema udini ni wao ndo wadini Alipoitaka serikali kuwajibisha vyombo vya habari vinavyochochea udini na kutaka vyama vya siasa vinavyotuhumiwa ni vya kidini basi vifutwe.........MAGAMBA WAMEKUWA WAKITUMIA UDINI WAKITEGEMEA UTAISHIA KWENYE KUITUHUMU CDM tu sasa hiyo dhambi inawamaliza RIP--MAGAMBA
 
Utaskia sasa hivi wakisema kuwa waliofanya hayo ni Wahuni na Sio Waislamu. wat a shame
 
Matokeo ya mfumo kristo hayo. Kundi fulani Tanzania hii hata hapa JF wanadhani ni bora kuliko wengine! Acha tu tu-balance powers wenyewe, serikali isiingilie!
 
Wamechinja ka kuku.... Ila hawajamtoa meno.... Hawa waislam sasa serikali inawalea sana sana.... Huwezi choma makanisa, kuua askari, kuchoma ofisi ya CCM, kuandamana hadi polisi na SERIKALI DHAIFU inawaangalia tu...... SHAME....

Waliokuwa wanashabikia Mahakama za Kadhi wajifunze "kutoka kwa mtini!"
 
Serikali iliyoingia madarakani kwa kisingizio cha udini uliokuwa "created" leo inawagharimu.
Waswahili wanasema "mmelikoroga mtalinywa"
 
Naukumbuka sana waraka wa Godbless Lema kwenda kwa rais kiziwi Kikwete. Hakika yeye mwenyewe ndo alihasisi ubaguzi wa kidini kwa lengo la kuivunja nguvu Chadema lakini sasa inamgharimu. Maskini nchi yangu nzuri Tanzania nakuonea huruma unavyoteketea kwa maslahi ya wachache. Mungu ibariki Tanzania Mungu lilinde Taifa langu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sio kweli huu ni uongo hakuna aliechinjwa.Tucpotoshe jamani. Napenda hii habar ifutwe.

Ulikuwepo eneo la tukio au unakuwa kama wale wanaotetea karatasi kukojolewa ili wapate justification ya kufanya uporaji! Watu wengine akili zao zimekaa tenge: Kukojolea karatasi, NO, Kupora makreti ya bia, YES! Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu kwa kweli!
 
Kumekucha, ndio maana mkuu wa kaya anazurura tu kwa watu,keshajiona hana la kufanya cause hata mkuu wa Polisi ni shem.
 
Back
Top Bottom