vurugu za mbagala katika picha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
11102012044.jpg


11102012048.jpg


11102012024.jpg


11102012019.jpg


11102012045.jpg


11102012049.jpg


Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia.

PICHA KWA HISANI YA
GERLAD KIMANGA.MIA
 
mmh kazi ipo mwaka huu

Laana hiyo kun kiongozi wa chama furani alisema nchi haitatawalika leo tunashuhudia kila kukicha vurugu mabomu ymekuwa vitu vya kawaida sana hata watotot wadogo wameshayazoea sasa....
 
Huyo aliyekojolea Koran anapaswa kupewa adhabu yake.Hivi kitabu kisichosema unakikojolea kama siyo uchokozi ili iweje? Vitendo vya namna hii vinalenga kuleta vurugu bila sababu.Je mhusika kweli ana akili timamu au anapaswa kuangaliwa akili yake? Kwa hili walioamua kumshughulikia wamefanya la maana ingawa kuacha vyombo vya dola kufanya kazi yake ni muhimu. Mara hii tunakwenda Pakistani ambako msichana mmoja mdogo alisingiziwa kuchoma Koran! Kuna haja ya kufanya uchunguzi ili kujua ukweli ni upi.
 
ila duuuh..! hii kali kweli kweli..! sasa jamaa akiachiliwa akaingia kwenye mikono ya wale jamaa wenye itikadi kali atapona kweli...!??
 
Hivi hatuwezi kuwahusisha hawa waislam na CUF aise? Ingekuwa ni wakristu wangeunganishwa na Chadema!!! Leo mabomu ya kufumua utumbo hayapo? Au kwa vile wahusika ni wenzetu yakhe!!?
 
Watoto poleni sana haya yote ni kwa sababu ya DHAIFU,mwema,kova,sadick wameshindwa kukemea UDINI.Hii issue ilipangwa kabisa,Intelijensia alikuwa wapi au kwa CDM tuu??
 
Mbona maandamano kila ijumaa tu?Haya masuala yasipodhibitiwa yataleta uvunjifu wa amani.Serikali dhaifu...............
 
Serikali legelege inapelekeshwa na kikundi kidogo sana ambacho ndicho walikitumia kama back up ili ingetokea kutopata nafasi ya kugombea....wangeanzisha fujo nchi nzima kupinga zamu yao kwa nafasi ya juu kabisa!!!!sasa hawezi kuwakemea maana yeye ndie aliewatengeneza kisaikolijia
 
Na aliyekojolea ni muislamu. Hiyo kali. Ila inasikitisha sana! Sijui hawa waislamu wachache wenye akili mbovu mbovu kama makapi wanatoka wapi? Mbona sisi watanzania hatuna utamaduni huo? mbona hawa wajinga wanataka kutugawa?
 
Something is wrong somewhere here,and actions has to be taken very quicly by the Sequrity Forces before this situation worsens.Kwa nini kila jambo likitokea kimbilio liwe ni kuchoma makanisa,je adui wao alikuwa humo Kanisani,kama hakuwamo wanatushawishi vipi kwamba huyo kikojozi aliyekojolea Msahafu alikuwa ametumwa na kanisa..?? Nasema hivyo sababu hata kama aliyetenda kitendo hicho ni mkristo Lakini bado hainiingii akilini kama wahuni tu(wachomaji) wanaweza kuingilia uhuru wa kuabudu nchini kwetu kwa matukio yanayofanywa na wahuni wenzao(kikojozi na wachomaji moto).Na tutajuaje kama huyo kikojozi hajatumwa na wahuni haohao ili wakamilishe dhamira yao.God bless my beloved Land Tanzania..
 
Huyo aliyekojolea Koran anapaswa kupewa adhabu yake.Hivi kitabu kisichosema unakikojolea kama siyo uchokozi ili iweje? Vitendo vya namna hii vinalenga kuleta vurugu bila sababu.Je mhusika kweli ana akili timamu au anapaswa kuangaliwa akili yake? Kwa hili walioamua kumshughulikia wamefanya la maana ingawa kuacha vyombo vya dola kufanya kazi yake ni muhimu. Mara hii tunakwenda Pakistani ambako msichana mmoja mdogo alisingiziwa kuchoma Koran! Kuna haja ya kufanya uchunguzi ili kujua ukweli ni upi.

Mmeshasema ni mtoto sasa jazba kwa mambo ya kitoto zinatoka wapi?
Sema tu mna agenda ya siri. Kamwe mnatafanikiwa.
 
Back
Top Bottom