Vurugu za Arumeru: Tunasubiri tamko la CHADEMA

Nafikiri hujui kazi na majukumu ya mbunge na chama, kazi ya Nassari si kutuliza vurugu, kama unaweza waammbie serikali iwaazime CDM Wizara ya mambo ya ndani hata kwa wiki moja halafu ndipo uje utoe lawama zako.

Nassari hata hajamaliza wiki nafikiri hata kaunda suti yake ya kuapia bado inanukia upya unauliza amefanya nini why shouldn't you ask MPs who have been in bunge for decades what have they done. Leave Nassari for about 3 years then come with your judgements but not today buddy.
Suala mbona rahisi sana.
Toeni tamko rasmi kama mada inavyosema ili mkichukua nchi iwe payback time.
Kuanzisha vurugu ni pipooooz!
Wakati wa virungu kila mtu na lwake?
In the meantime wafuasi wa chama chenu wana subiri tamko lenu.
What precedence are you setting?
 
Kufuatia wananchi wa Arumeru kuhamasika na ahadi walizopewa na viongozi wao, na wananchi kuamua kujichukulia hatua mikononi mwao kama wanavyoona inafaa, na wawekezaji kutishia kujiondoa,

Swali: Lini CHADEMA itatoa msimamo wake juu ya mgogoro huu, ukitilia maanani kuwa sasa mbunge wa Arumeru nia wa chama hiki?

haya ndio madhara ya shule za kata kwani mtu unauliza maswali ya ambayo hayajajitosheleza.
Damu ya bwana yesu ikutakase kwa dhambi ya chuki yako juu ya chadema.
 
ni wajibu wa CHADEMA kuwalimisha wananchi juu ya haki yao ya kumiliki ardhi na ni haki ya WANANCHI kudai ardhi yao waliyoporwa, na ni wajibu wa SERIKALI ya CCM kurudisha ardhi kwa wananchi,
 
kuna vurugu za mashamba ziliwahi kutokea babati na kusababisha kifo cha mtu mmoja.mbona hukuulizia Tamko?
 
ni wajibu wa CHADEMA kuwalimisha wananchi juu ya haki yao ya kumiliki ardhi na ni haki ya WANANCHI kudai ardhi yao waliyoporwa, na ni wajibu wa SERIKALI ya CCM kurudisha ardhi kwa wananchi,
Political oppurtunism of the highest order.
Anzisha vurugu halafu ukae pembeni,bila kuelwa kuwa mnamuweka kikaangoni mbunge kijana wa Arumeru.
Its clear you will never deliver what you promised.
 
haya ndio madhara ya shule za kata kwani mtu unauliza maswali ya ambayo hayajajitosheleza.
Damu ya bwana yesu ikutakase kwa dhambi ya chuki yako juu ya chadema.

Hizi kauli za kimtei mtei zinanikera kweli kweli. Hivi nyie hamuoni kuwa CHADEMA kuna watu wa dini nyingine pia?
 
tatizo sio lako bali ni la ile shule ya kata ulosoma na kumalizia, zas y unaleta mawazo ya kibangi bangi humu JF.
Damu ya bwana Yesu ikutakase kwa ulopokaji wako. Amen

Unafiki na wanafiki utawatambua kwa mawazo yao.
Ulishiriki kueneza dhambi kubwa ya ibilisi-uongo-na umezaa matunda,watu wanafaya vurugu.
Mnafiki ondoa boriti ndani ya jicho lako kabla ya kuona kibanzi ndani ya jicho la nduguyo.
Na hilo Jina Kubwa unolitumia kwa madhumuni ya uongo,litakuweka mahali unapostahili.

Cha msingi unawaambia nini wale watu masikini mliowahamasisha na sasa wanatiwa virungu na sasa mnatumia Injili kuhalalisha uongo.
 
nani wa kutatua mgogoro,chadema au serikali?

Kilichowaudhi sana wananchi wa maeneo yale ni kitendo cha wale wazungu kwenda kushtaki Polisi kuwa wanapigiwa kelele wakati ulipofanyika Mkutano wa Injili kijiji fulani cha karibu, je tutazuiwa hadi kupiga kelele ktk maeneo yetu tuna anayetuzuia ni mgeni ambaye hatujui amefikafikaje hapa? Pesa yenu, mashamba yenu basi sisi tuachieni na Mungu maana ndiye tunayemtegemea [Kauli za wananchi hizo] pia ukawa muda muafaka wa kutimiza walichokuwa wamekusudia! hapa Chadema hawahusiki kabisa, ukitaka pia waweza kumuuliza James Ple Millya
 
tatizo sio lako bali ni la ile shule ya kata ulosoma na kumalizia, zas y unaleta mawazo ya kibangi bangi humu JF.
Damu ya bwana Yesu ikutakase kwa ulopokaji wako. Amen
Kibwetere wewe.
Kwani Yesu ndio aliiagiza CHADEMA ikaongopee wanamchi ili wafanye vurugu?
Kama ni hivo basi mnshindwa nini kusema ukweli wenu huku wananchi wanaumia.
 
Yale yale ya TBC kutaka Chadema iwahakikishie usalama wao.

Vipi mmeshindwa kutawala au? Mbona mnasahau kuwa Serikali na kuna watu wanalipwa mshahara kwa kazi hizi?
Uliza tamko la polisi, serikali, Lusinde, Wa-Syria etc.

Lile shamba halizalishi linaiba, wameiba Wanyama porini na kuja kuwafugia pale, ni kuwatesa.
Wale walinzi walikuwa wanabaka kina mama wanaofuta nyasi za ng'ombe.

Fence iliposhushwa hapakuibwa lolote, zaidi walifungulia tu mifugo ipate malisho.
 
Mheshimiwa sana Nassari, umesikia kuendelea kwa vurugu Arumeru, tamko lako vipi
(ITV habari saa 2 usiku 25/04/2012)
 
Magwanda wanajua kuwasha moto wa kijinga. Hata kama ni kinyume cha sheria na unaumiza uchumi. Baada ya hapo wataendelea kusema hali mbaya ya uchumi....bla-bla-bla wakati ni wenyewe wenye kuchochea kuwafukuza wawekezaji. Uchumi bila uwekezaji ni bure.

Nashukuru Mungu mimi si Magwanda.

Magamba at work! Hivi wewe unamjali sana mwekezaji wakati wana wa nchi hawana ardhi? Ukifikiria Kimagamba ni matatizo mtupu, kwani si Mlimtuma EL kuwa angechaguliwa mkwe wake mngerudisha Ardhi? Wacha wananchi wachukue hatua
 
Back
Top Bottom