Elections 2010 Vurugu ndani ya CCM aulizwe Rostam

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Amegawa pesa karibu majimbo yote na kuwaacha wagombea wakigombana wao kwa wao.
 
Katika hii lianaloendelea VIONGOZI wengi wa CCM ambao inatia kinyaa kuwahita viongozi ni MATEKA WA MAFISADI WAMEVISHWA VITANZI BILA KUJUA PAMOJA NA JK MWENYEWE SASA WANAKOKOTWA SAMAKI ANAPOVAMIA NDOWANO ILIYOVISHA CHAMBA MATOKEO YAKE ANAANGUKIA KWENYE NDOANO NA KUVULIWA KIRAHISI JK,MAKAMBA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM MMEISHA NASA KWENYENDOANO HAPA ANAE AMUA NI ROSTAM AZIZ HAMKUTAKA KUMTOSA SASA ANAWATOSA NYINI MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Asante kwa kutujuza, ila toa habari vizuri kwa kina. Au unataka sema hata Dr Mwakyembe kapewa? elaborate please
 
Back
Top Bottom