Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 176
Tumeshuhudia siku za karibuni vurugu na mauaji katika mikutano au maandamano ya amani ya CHADEMA na kauli ya viongozi wa serikali na chama tawala CCM.Kwa mtu mwenyeakili timamu hahitaji akili ya ziada kuelewa nini kinachofanyika,Tukianzia mauaji ya Singida,Mororogoro na hili la mwisho Iringa.Inasikitisha kwa haya matukio yote tunapoiona serikali na chama tawala kinatumia mbinu hii ya kitototo na iliyopitwa na wakati ili kukipaka matope chama mbadala CDM.
Wako tayari kuua ili wabaki madarakani.Ili kuthibitisha hili ebu tujaribu kuzipitia kauli za viongozi wa CCM na serikali.Tukio la Singida kuna kila dalili ya kua CCM kupitia kwa Mwigulu Nchemba anausika katika mauajia hayo,mauaji ya Morogoro yaliyotangunguliwa na kauli ya Nape ya kua Morogoro CDM wamepanga kufanya vurugu katika maandamano hayo ili baadae wailaumu serikali.Kama serikali ambayo kwa nyakati tofauti wamekua wakitumia sababu za kiinterejensia kuzuia mikutano ya CDM,kwanini hawakuitumia kuzuia machafuko?Kwanini CDM walipofanya mikutano na maandamano yao bila kuingiliwa na Polisi hakukua na vurugu?
Ikafuatia kauli ya Wasira ya kua CDM kutokana na vurugu kinapashwa kifungiwe!Yakafuatia ya Iringa mauaji ya Mwandishi wa habari yakishuhudiwa na kamera za video na picha za mauaji ya kinyama ya polisi,Msajiri wa vyama Mh.Tendwa bila aibu anakuja na kauli ya kua CDM ikiendelea na mauji hatasita kuifungia na Nape anaibuka na kusema lawama za kifo cha Mwandishi wa habari CDM iwajibike!!!!!!!!.
Hao polisi ni wa CDM?!!!.Kwa mtiririko huu inaoneka na ya kua CCM na Serikali imezidiwa kila sehemu,katika hoja,katika kukubalika katika jamii kupoteza mashiko hivyo inabidi kutumia mbinu chafu,ambazo zimepitwa na wakati na utu,kuwa tayari kua ili kutafuta sababu.WATANZANIA WA SASA HAWAHITAJI DARUBINI KUONA MADUDU YA CCM,KAMA WAO KATIKA VIKAO VYA NDANI WANASHIKIANA BASTORA NA RUSHWA TUWATEGEMEE VIPI KUTUONDOA HAPA TULIPO"KUPAMBANA NA RUSHWA NA UFISADI!?CCM KUPAMBANA NA RUSHWA NI SAWA NA WAZAZI KUKUBARI KUMUA MWANAE .MUNGU IBARIKI TANZANIA.