Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

Wana jamii nimesikia kuna vurugu kubwa zimetokea mwanza na inasemekana kuna watu watatu wamepigwa risasi na polisi.
kama kuna watu wenye habari zaidi atujulishe.
 
Nakushangaa unauliza jibu! hivi hujui kuwa meya na madiwani wengi wa mwanza ni cdm? unategemea nini?
Wewe ni mpu. mbavu. Watu wamepoteza maisha yao kwa kuuliwa wewe unaleta maelezo ya kijinga namna hiyo? nadhani hata huyu aliyekuajiri uje kuleta upupu wako hapa JF naye akili yake inatia shaka.
 
kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa mwanza muda huu ninapoposti hii thread kati ya wamachinga na polisi, kuna watu wengi wamejeruhiwa na kuna dalili kuwa inawezekana na vifo vikawepo muda wowote.
kisa wamachinga hawataki kuhamia maeneo waliyotengewa na jiji

tutaendelea kujuzana zaidi kadri muda unavyoendelea.......!
 
watu watano wameripotiwa kufa na majeruhi ni zaidi ya 30.
 
Duh, hii nchi inaelekea wapi? Ndio wameshindwa kuwaondosha bila ya kutumia silaha za moto?

Tunaomba picha ikiwezekana
 
mods unganisha hii issue tuweze kuleta news zaidi coz nipo eneo la tukio.
 
tuleteeni picha pia, hapo ndo unapoona kiswahili kigumu wameshindwa kuelewana mpaka watumie mabomu?
 

Attachments

  • 280938_142785352466114_100002039503105_281292_217197_o.jpg
    280938_142785352466114_100002039503105_281292_217197_o.jpg
    69.7 KB · Views: 277
Watatumaliza,kwani wanashindwa kuzungumza na hao wamachinga ili wawaeleze kwa nini hawataki juhama?
 
Nimesikiliza SupaMix EA Radio, chanzo kinasemekano mgongano wa maamuzi kat ya madiwan wa CCM na CHADEMA kuhusu mahali pa wamachinga kufanya Biashara, hivyo wamachinga wamekuwa njia panda kujua wapi waende.
 
Poleni sanja ndugu zangu wa mwanza.Hivi hii kero kati ya wamachinga na askari/serikali itaisha lini?serikali imekuwa ikisistiza watu wajiajiri wenyewe sasa inakuwaje tena inakuwa mstari wa mbele kuharibu ajira hizo.inasikitisha sana!
 
Nimesikitika sana kwa taarifa hizo........na mbaya sana viongozi wetu hawajali. Lakini nasikia harufu ya ukombozi kwa taifa hili.......muda mchache ujao. Mungu yuko upande wetu. Poleni sana ndugu zangu wa mwanza.

Acha ndoto za mchana Kbd.
Ukombozi wa Tz ulishafanywa na TANU.
Kilichobaki kwako chapa kazi halali ujenge nchi, si kubwabwaja upuuzi.
 
Duh, hii nchi inaelekea wapi? Ndio wameshindwa kuwaondosha bila ya kutumia silaha za moto?

Tunaomba picha ikiwezekana

Kama imelazimu, silaha za moto zitatumika. Hilo ni jambo la kawaida.
Muhimu ni kulinda amani ya walio wengi dhidi ya wakorofi wachache.
Tuwaunge mkono vyombo vya usalama kwa usalama wetu, si kulaumu kwa haja potofu.
 
Hii kitu inahusiana na maelezo ya Dk Slaa ile juzi? nakumbuka member mmoja DAUGHTER alimwambia Dk Slaa kwamba jiji la mwanza chafu,vioski kila kona, taka nyingi, maachinga kibao, nae akafanya follow-up na akaongea na watendaji na akatupa update!! Vp hii ya leo ina mahusiano yoyote na Ile ya Dakta?? safisha JIJI??
 
Acha ndoto za mchana Kbd.
Ukombozi wa Tz ulishafanywa na TANU.
Kilichobaki kwako chapa kazi halali ujenge nchi, si kubwabwaja upuuzi.
Mkuu tatizo hapa tunasolve long term problem kwa short time solution...
Issue ya kuzuia hii yote ni kutengeneza ajira na sio kujenga Machinga Complex.., kazi hakuna vijana hawana means ya kuwapatia chakula, na hapa sasa kitakachofuata na vibaka na ujambazi kuongezeka people have got to eat
 
Back
Top Bottom