vurugu mdahalo wa katiba ubungo leo

Wewe ni mzee chipaka unajitetea?
Tuwe makini na hii midahalo kwani inaonyesha wazi kuwa inapendelea upande mmoja, hata waandaaji nao wanaonesha wazi kuwa nini wanataka wananchi waamini matakwa yao, kwa nn mnakataa kusikiliza mawazo ya wanaotetea upande wa serikari? C ni mawazotuu au Mnadhani ccm hakuna wanaoiunga mkono'? Au katiba iliyopo hakuna wanaoiunga? , Hawa wakina Kibamba hawatendi haki kbs Kwanza yeye anapohimiza wananchi waingie barabarani kupinga muswaada kusomwa mara ya pili kwani anauhusiana nini na majukumu ya bunge? Kweli msipokuwa makini katiba ijayo itakuwa na mapungufu makubwa kuliko hata iliyopo sasa na itadumu kwa muda mfupi sana,, maana naona ushabiki wa vyama ndo umetawala kuliko kuangalia matatizo yaliyopo. angalieni sana Tanzania ni yetu sote. Na nina imani Wenye mamlaka watazingatia maoni ya wengi lakini Ushabiki achane kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake mahala popote na mujibu wa sheria.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
 
Mimi bahati mbaya nachanganyikiwa, naona hapa tunachanganya hizi delivery model za mijadala, mi nafikiri huu wa leo kama ilivyo mingine mingi utakua na mjadala ama kongamano maana kama waliosema tofauti walizomewa basi inamaana hakukuwa na panelists wa opposing and supporting sides na hakukuwa na controversy katika hayo, naona tu nitoe hii tofauti kama ninavyoielewa mimi na kama waandaaji waliuita ni mdahalo basi kwa kweli hapo kutakua na tatizo. Hizi tofauti ni za muhimu ili kupima matarajia yetu sisi watazamaji. Sasa nichangie juu ya chipaka na uganga njaa wake, hivi chama gani hicho ambaco hakijawahi kupata hata ujumbe wa nyumba kumi kumbi, chipaka mwenyewe picha zake zimetapakaa kule clock tower hata sijui alikua anagombea nini, huyu mzee ni failure katika kila kitu na msaliti sana sana sana.
 
La msingi ktk swala zima la katiba ni kwa wananchi wote kuvua kofia zetu za vyama na kuvaa kofia za utanzania wenu tujifunze
kuweka maslahi ya nchi mbele kwa kutengeneza katiba inayojali maslahi ya nchi na siyo wanasiasa au maslahi ya mtu binafsi.
 
Mpuuzi wewe tulikuwepo hakuna fujo kama imetokea kituo cha daladala hao ni wahuni usihusishe na mdahalo
 
Kama ni yule mzee Chipaka. msameheni, nimfadhaiko wa akili. ameshawekwa ndani mara nyingi. Halafu anaonekana ameshakuwa mwoga.
 
kweli yule dogo wa Pemba, amekosa ustaarabu wa kuongea katika majukwaa. imagine ingekuwa kenya upo kwa wajaluo na wewe ni mkikuyu halafu useme huwapendi? kweli watz bara wamemshangaa halafu wakamwacha, akajiona *****..
jamani yule kijana sio kwamba ni mpemba kama alivyojitambulisha , ni muongo kabisa huyo ni m2 wa bara. katika kuuliza uliza hapa nimeambiwa anatokea morogoro....jina lake halisi ni Augustino Matefu so mnaweza angalia pia asili ya jina hili la Matefu linatokea wapi...halafu amejitambulisha kama mtaalamu wa sheria ili aonekane anayoongea kuwa ni ya msingi, pia ni muongo katika hili kwani form four alipata div ZERO na sasa ndio ameanza kusomea certificte of LAW pale UDSM asa huu utaalamu ameutoa wapi, kwa uhakika kabisa huyu ni kati ya vijana wa nape. Sikutaka kutaja alisomea wapi wapi kwan hata me najisikia aibu sana kwa alivyofanya lakini anabidi niseme tu ili wengine wasiomuona siku hiyo wapate kumkumbuka kuwa ndiye...jamaa amemaliza form four Pugu 2007. Ametudhalilisha sn pugu boys wazee wa pond
 
lini huo mdahalo utarudiwa tena. nshasisimka hapa nilipo. please next time kukiwa na hii kitu tujuzane in advance ili watu tuache kwenda kwa viti virefu wakati mambo ya maana yanapokuwa hewani
 
jamani yule kijana sio kwamba ni mpemba kama alivyojitambulisha , ni muongo kabisa huyo ni m2 wa bara. katika kuuliza uliza hapa nimeambiwa anatokea morogoro....jina lake halisi ni Augustino Matefu so mnaweza angalia pia asili ya jina hili la Matefu linatokea wapi...halafu amejitambulisha kama mtaalamu wa sheria ili aonekane anayoongea kuwa ni ya msingi, pia ni muongo katika hili kwani form four alipata div ZERO na sasa ndio ameanza kusomea certificte of LAW pale UDSM asa huu utaalamu ameutoa wapi, kwa uhakika kabisa huyu ni kati ya vijana wa nape. Sikutaka kutaja alisomea wapi wapi kwan hata me najisikia aibu sana kwa alivyofanya lakini anabidi niseme tu ili wengine wasiomuona siku hiyo wapate kumkumbuka kuwa ndiye...jamaa amemaliza form four Pugu 2007. Ametudhalilisha sn pugu boys wazee wa pond

Nimependa hapo kwenye red maana kila nikivuta taswira sipati picha kati ya uhusiano wa hayo mambo mawili. Aisee hivi udsm wamefika mahala hapa, kweli elimu imekwisha nchi hii, mweeeeee!
 
yule kijana matefu ni kijana wa ccm-na niliona alianza kusalimia kwa kusema "watu wa bara salam aleykum"as if yeye si mmoja wao-na akaenda mbali zaid kwa kusema kuwa watu wa bara ni wasumbufu ndio maana wazenji hawawapendi-
nazani ni kijana anayetakiwa kufunzwa adabu ili next time afunge mdomo wake,kama yeye amesoma sheria juzi, kuna watu wanazeeka na hio elimu ya sheria na wana uwezo beyong yeye ila wametulia kwa kujua ukweli upo wapi
 
Back
Top Bottom