Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

Sisupport fujo za aina yoyote ika makosa lazima yaende kwa nec na mabosi wao!
 
Kwa ukweli inashangaza kuona chama kikongwe kimekuwa kikihubiri wapinzani kukubali matokeo. Hali ikionekana inakula kwao, basi wao wanakuwa wa kwanza kutokukubali kupokea matokeo! Hii imethibitika maeneo kama ya arusha, mwanza, hai, na sasa mbeya. Lakini maeneo ambayo chama hicho kikongwe kimeshinda, aaa, hamna shida, matokeo yametangazwa fasta.

Sasa mpaka watu washinde na njaa, walale barabarani, wachome moto ndo wanalazimika kutangaza matokeo.

Unafiki huu haufai. Inakera. Wapinzani watakapoingia bungeni, kweli waweke nguvu ya kuwepo tume huru ambayo wakati wote haitajiona kana kwamba wameajiriwa na chama twawala.
 
Ndugu yangu !!!
Pamoja na kuwa watu hawajatendewa haki.... unasahau kwamba hapo shuleni kuna watotot zetu na wadogo zenu wanasoma huko. Huwezi kushangilia kitendo kinachohatarisha maisha ya watoto kwa sababu za kisiasa!!
Im very much dissapointed in you!!

ukiwa na siasa safi utajenga Lolenza kila mahala zitakapohitajika, lakini kwa hali ya sasa lolenza inasaidia wachache tu, ndiyo maana watu wanataka mapinduzi ya kweli ya kusaidia watoto na wadogo zao. Wakandamijazi wameonyesha kila dalili ya kutoachia madaraka bila mitilinga, sasa ni kwa wananchi kuamua kusuka au kunyoa. Mapinduzi ya kweli hayatokei bila kafara ama ya mali au maisha, its a painful reality! natumaini ccm watakuwa waungwana na kuheshimu mahitaji ya watu ili kuepusha unnecessary loss of life and property.
 
Nasema anayesema si sahihi Shule kuchomwa yeye ndiye mwenye matatizo, kimsingi ili wananchi wajifunze na waone kwamba serikali wanayong'ang'ania ni wauaji, waporaji n.k inapswa iwe hivyo, for sure i wish hata hasa hawa wanawake ambao kimsingi ndio wenye matatizo meeeengi ajabu lakini wanashabikia ujinga, siku moja walipuliwe kwenye mikutano...ujinga mtupu. Kina Joseph Kony msidhani ni wahuni, wanalazimika kuwaadhibu raia coz wamejifanya hawaoni ili kuleta mabadiriko lakini badala yake wamegandana na viongozi wle wale wanao waibia na kuwaacha kwenye umasikini uliokithiri.
 
Ndugu yangu !!!
Pamoja na kuwa watu hawajatendewa haki.... unasahau kwamba hapo shuleni kuna watotot zetu na wadogo zenu wanasoma huko. Huwezi kushangilia kitendo kinachohatarisha maisha ya watoto kwa sababu za kisiasa!!
Im very much dissapointed in you!!

Mkuu nimekugonge the needfull,
Naondoka sasa hivi nikatafute mean za kuwasiliana na home TZ maana nina sister zangu wawili form 6 pale Loleza. Ooh! my LORD, why this......!
 
aliye sababisha vurugu hiyo aidha kwa makusudi au uzembe ajulikane ili kesho na kesho kutwa isiwe kazi kwa MAHAKAMA ya KIMATAIFA sasa tumeanza kuwafahamu MAADUI WA NO MOJA wa TAIFA HILI!
 
aliye sababisha vurugu hiyo aidha kwa makusudi au uzembe ajulikane ili kesho na kesho kutwa isiwe kazi kwa MAHAKAMA ya KIMATAIFA sasa tumeanza kuwafahamu MAADUI WA NO MOJA wa TAIFA HILI!
 
inashangaza sana kuona baadhi ya ma'great thinkers" wakishabikia kuchomwa shule ya loleza moto!tumefika huko watanzania!!!!???walioko kule ni wadudu au dada na watoto wetu jamani?!haki haidaiwi kwa njia hii....kwa nini kuwaonea wale watoto ambao hawawezi kupambana?!haki haipatikani kwa kuonea jamani!
 
No! This is getting worse now. I'm switching off my phone for the time being and I'm going to appeal to heavenly court. NO Human can handle this as the one responsible have lost direction. I ave to call upon God and I'm going to do it NOW. I'm not happy at what is happening in my beloved country!!!
 
Nashangaa kuona mtu anashabikia vitendo ya uchomaji wa shule, lakini si ushabiki wa chama ila ni ukosefu wa akili. Kucheleshwa kwamatokea si sababu ya kuchoma shule moto.

Mtu mwenya akili hawezi kushabikia vitendo kama hivi hata kama ni ushabiki wa kichadema!
 
Sidhani kama unaakili nzuri, lakini ashangilie kufa kwa mwenzake yeye hufiwa pia. one day Mungu atajibu furaha yako kwa taizo kukufika. wamekosa nini wanfunzi wanaadhika na ushabiki mbovu kama huo? :A S angry:
Mtu mwenya akili hawezi kushabikia vitendo kama hivi hata kama ni ushabiki wa kichadema!
 
Ndugu yangu !!!
Pamoja na kuwa watu hawajatendewa haki.... unasahau kwamba hapo shuleni kuna watotot zetu na wadogo zenu wanasoma huko. Huwezi kushangilia kitendo kinachohatarisha maisha ya watoto kwa sababu za kisiasa!!
Im very much dissapointed in you!!

Vita havina macho!
 
Back
Top Bottom