Vurugu, mauaji ya Arusha: SHIMBO YU WAPI?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Aliibuka ghafla na kupata umaarufu mkubwa kupitia vyombo vya habari. Huyu si mwingine bali mnadhimu wa jeshi ABDULRAHMAN SHIMBO. Sasa yupo wapi wakati mauaji yametokea Arusha? yupo wapi kutoa tamko lake either alaani au a-support machafuko hayo? Je, ni upi msimamo wake juu ya mchakato wa katiba mpya?
 
ajitokeze sasa tumuone na atoe tamko lake au alikuwa anawashwa kipindi cha uchaguzi? Simoendi kama nini
 
Nawewe hivi umeishia darasa la pili? Sasa hapa shimbo anahusika vipi? Kwanza shimbo alitahadhalisha umwagaji damu chadema na viongozi wa dini maaskofu wanafiki wakapinga! Yako wapi sasa wamesababisha kumwaga damu! Chadema ni wahuni wakubwa hawani hawafai kuwa viongozi wa nchi!
 
ajitokeze sasa tumuone na atoe tamko lake au alikuwa anawashwa kipindi cha uchaguzi? Simoendi kama nini

Ajitokeze kwa lipi sasa? Kwa upuuzi wenu wa arusha? Mumeandamana na kusababisha watu kufariki! Wahuni wakubwa nyie!
 
Back
Top Bottom