Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,134
- 13,253
Ni katika soko jipya la NMC iliyokuwa eneo wazi la mikutano ambalo juzi CHADEMA walipanga kufanya mkutano. KISA machinga waliokosa eneo wameanzisha fujo wanarusha mawe ni vurugu kubwa sana na sasa polisi wamefika wanajaribu kutuliza fujo. NITAUPDATE.
UPDATES: Vurugu zilizimwa na FFU.
My take: Kuna haja ya mamlaka husika zikawa zinatoa maeneo kwa wale waliokusudiwa kwani ni dhambi na kuleta uvunjifu wa amani pale mnapoombwa kuhamia sehemu nyingine na mkifika mnakuta wamepewa/wameuziwa watu wengine kabisa ambao hawakuwa kwenye utaratibu wenu wa mgao na hujui ni wapi utaenda kufanyia biashara