Vunja jungu

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Jamani mwezi mtukufu ndo huo unabisha hodi.....kawaida huwa tunakuwa na vunja jungu kabla ya kuingia kipindi cha toba....wale tuliobongo tutafutane kwa vunja jungu la nguvu

Masa
 
Haya mazee mimi nitakuwa maeneo ya Mlimani city nawinda wa kuvunja naye jungu!
 
maana ya vunja jungu ni nini wajameni?

Maanake ni kutenda dhambi kwa mara ya mwisho kama kumegwa ndo unamegwa mara ya mwisho then unaingia mwezi mtukufu. Kama mlevi unalewa sana then unaziaga kwa kipindi cha ramadhani.
 
Maanake ni kutenda dhambi kwa mara ya mwisho kama kumegwa ndo unamegwa mara ya mwisho then unaingia mwezi mtukufu. Kama mlevi unalewa sana then unaziaga kwa kipindi cha ramadhani.

Hahahaha hii tasfiri ni kwenye Biblia, Quran ama Katiba? Naomba mwongozo Mh spika
 
Hahahaha hii tasfiri ni kwenye Biblia, Quran ama Katiba? Naomba mwongozo Mh spika[/QUOTE]

jamani..haaa leo nackia raha sana humu.

Mhh,

Mi yangu macho! Mwanzo nilifikiri hilo neno umeandika "hamu". Samahani mdau, ni illusions za jioni ya leo, bashasha za kutaka kuwahi kufanya kweli (kutenda uozo) kabla ya kuanza kutubu! Sijui toba yenyewe itaenda kweli wakati hang over bado inasumbua!!:confused:
 
Naambiwa anamulume wake huyo...hamu inabidi wewe usiijue
 
Vunja Jungu mpwa haipo kwenye Msaafu ndo maana inakataliwa watu wanatenda dhambi.

Naam ni dhambi tupu! Maana hili la kuvunja jungu na matendo mengine baada ya Mwezi wa Toba ni kama vile waumini wameruhusiwa kufanya dhambi katika miezi 11 katika mwaka halafu mwezi mmoja ndiyo wanafanya mambo ya toba, kumbe si hivyo hata kidogo. Sasa mtu unaenda kuutwika mtungi siku chache kabla ya Mfungo, si ajabu hata Mfungo unapoanza bado una ile perfume ya maji ya dhahabu halafu unasema umefunga!! Hmmm!
 
Ni kweli lakini labda wengine wanaruhusiwa kuanza kwa kuhesabu day 1 wakati wengine wanaanza na Day 0!!
 
vunja jungu raha sana wadau, wiki nzima mimi navunja tu, ila hairuhusiwi ki sharia
 
Hiyo ni tafsiri ya kihuni toka mitaani. Tafsiri hiyo imezushwa mitaani imekuzwa na imechukuliwa kuwa ni utamaduni ama maelekezo ya dini husika ambayo waumini wake wanatekeleza. Upuuzi mtupu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom