Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.
Yawezekana huyu aliyekojolea biblia si mwislamu halisi bali ni yule mwislamu jina na pengine alikuwa bangi nyingi au aliyebugia kokeni.Hii ni kukosa ufikiri wa kina juu ya imani za wengine na pengine alidanganywa kuwa akifanya hivyo atapewa pakti nyingi za kokeni.
 
Katika kile kinachoonekana Tanzania kugubikwa na hali ya kutovumiliana kidini KITABU KITAKATIFU KIMEKOJOLEWA HUKO TANGA ili kulipiza kisasi cha kukojolewa quran.
Huu ni wakati wa wakristo kuonyesha tofauti kwa kutulia na kumuomba Mungu zaidi.
Source:RFA uchambuzi wa magazeti asubuhi.

baada ya kukojolea ameridhika na reveange? baadae ataendelea kusononeka na kunungunika, bado shida yake haijaisha, mwangalieni tu
 
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that
Mwenyezi Mungu alipizwi kisasi na neno lake linakaa maishani mwa muumini,Biblia ni chombo tu cha kukusaidia kifikia hiyo imani na haiabudiwi kama Quraan,hivyo licha ya kuikojolea wangeichoma moto ua kuinyea hakuna wa kukasirika kwani tuna imani kuwa neno la Mungu halitaathiriwa na vituko bado litaishi milele na halitaweza kuondolewa mioyoni mwa waumini, na waumini hawatishwi na hilo kwani mungu anajua namna ya kuwaadhibu na siyo binadamu awae yote..
 
Kama kuna dini siielewagi na naichukia ni uislam vile ni watu wasioelewa kbs kitu chochote hapa duniani, labda mtu anijuze kuwa hawa wanaochoma makanisa, kuua watu kwa kisingizio cha uislam c waislam.
 
Amekojolea sawa amefaidika nini sasa? Akil zingine jamani dah! Ni kumsamehe tu na kumwombea Mungu amtoe kwenye roho chafu hiyo.
 
Usihukumiwe uislamu kwasababu ya tendo la mtu mmoja mwenye mtazamo wake tofauti,tena mtu tu asiye na madaraka yeyote ndani ya umma wa waislamu! Hakuna sehemu hata moja uislamu ulipohimiza chuki na vitendo vya kichokozi bali watu kama watu wanafanya watakavyo kwa visingizio vya uislamu kutokana na maono yao hafifu.

Mimi ni muislam lakini binafsi siuchukii ukristo simply kutokana na baadhi ya wapuuzi wachache wanaojiita wakristo jinsi wanavyoitukana imani yangu na kejeli za kuchukiza (Ikiwemo ndani ya JF) maana najua hayo ni maono yao na wala si ukristo,hakuna sehemu kwenye bible inayowataka wafanye hivyo . Contrary na mtazamo wao uraiani 90% ya marafiki zangu ni wa kristo na tunaishi kwa raha kupita kiasi na tunashirikiana katika kila jambo.

Huyo mtu aliyefanya huo upuuzi ahukumiwe yeye kama yeye jambo kuwa anajiita muislam lakini uislamu ni zaidi ya jina la mtu tu, huyo mtu wala asipewe publicity yeyote adharauriwe tu ana stress zake za maisha.

nimependa maoni yako ingawa kuna wana imani wenzako watakwambia wewe siyo muislamu,kwamba ni maoni ya kafir!
 
Yeah, halijatokea kwa bahati mbaya tu, lakini ili MUNGU wa kweli na Ukristu vipate kudhihirishwa kwa wanadamu wote. Kwa hili waisilamu watajua ukweli kuwa wanachoabudu na kufundishwa ni uovu wa shetani.
 
Tofauti ya uislam na ukristo ni kwamba uislam ni dini ya mungu ukristo ni dini ya kutengenezwa kitabu chao hakina tofauti na kile cha abunuasi ndio maana hata ukinyea hawajali

Dini ya mungu mwenye vurugu? Manake miuungu ni wengi mno, wengine wanafanya ng'ombe, jua n.k. au Kukariri (quran) tu bila kuwa/kupata sababu ya utumiaji maishani? Mbona hawana mfano mzuri duniani kote? Vurugu nyingi ni wao, kuhitilafiana ni wao, kupinga maendeleo ni wao, nk
 
Tofauti ya uislam na ukristo ni kwamba uislam ni dini ya mungu ukristo ni dini ya kutengenezwa kitabu chao hakina tofauti na kile cha abunuasi ndio maana hata ukinyea hawajali
hapo kwenye bold sio andazi hilo kaka liandike kwa adabu na HERUFI KUBWA! ni MTAKATIFU SANA MUUMBA WETU, HATUSTAHILI HATA KUTAJA JINA LAKE HOVYO!!! nakala kwa wote wamtajao hovyo na kumuandika kwa herufi ndogo! MUNGU WETU UTUSAMEHE WOTE NA UTUHURUMIE WADHAMBI SISI!
 
Huyo atakua ni kichaa kakojolea biblia. Hamna haja ya kumjadili maana na sisi tutaonekana vichaa!!
 
SISI TUMWACHE TUU HUYO,KWANI NI MPUMBAVU,SISI TUNAABUDU KATIKA MWILI NA ROHO YAANI NENO.KWANI HATUNA MUDA WA KULUMBANA NA WAJINGA.WAISHIE MADRSA TUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:bange:
 
Ni kukosa upeo na saa nyingine chuki hizi zinaletwa na watu ambao wamekwama kimaisha na hawajui namna ya kujiokoa,huwezi kuwa busy na mambo yako uende kukojolea biblia,ila huyo anamchokoza mung na ndie atakayemhukumu!
 
[h=3]Dear Christians!

Kuongoka kwa Saulo[/h] [h=5](Mate 22:6-16; 26:12-18)[/h] [SUP]1[/SUP]Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu, [SUP]2[/SUP]akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi kule Damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata Njia hiyo, awakamate na kuwaleta Yerusalemu.

[SUP]3[/SUP]Lakini alipokuwa njiani karibu kufika Damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia pande zote. [SUP]4[/SUP]Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?” [SUP]5[/SUP]Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. [SUP]6[/SUP]Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.” [SUP]7[/SUP]Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu. [SUP]8[/SUP]Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko. [SUP]9[/SUP]Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.

[SUP]10[/SUP]Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, “Anania!” Anania akaitika, “Niko hapa, Bwana.” [SUP]11[/SUP]Naye Bwana akamwambia, “Jitayarishe uende kwenye barabara inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda umtake mtu mmoja kutoka Tarso aitwaye Saulo. Sasa anasali; [SUP]12[/SUP]na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.” [SUP]13[/SUP]Lakini Anania akajibu, “Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko Yerusalemu. [SUP]14[/SUP]Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.” [SUP]15[/SUP]Lakini Bwana akamwambia, “Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao na kwa watu wa Israeli. [SUP]16[/SUP]Mimi mwenyewe nitamwonesha mengi yatakayomlazimu kuteswa kwa ajili ya jina langu.”

[SUP]17[/SUP]Basi, Anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka mikono yake juu ya Saulo, akasema, “Ndugu Saulo, Bwana ambaye ndiye Yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu.” [SUP]18[/SUP]Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa. [SUP]19[/SUP]Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia.
[h=3]Baada ya kuongoka, akawa Paulo (Yeye wamkataaye wakojolea Biblia). Hata sasa wangali wakisema ya kuwa Paulo ni mpotoshaji wakimwita Yesu Issa na maneno mengine yasiyo na maana. Je anatupotoshaje ikiwa Bwana mwenyewe alimuonesha hata akamuita chombo chake?[/h]Hebu tazama baada ya Saulo kuwa Paulo:

[h=3]Saulo anahubiri huko Damasko[/h] Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko. [SUP]20[/SUP]Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. [SUP]21[/SUP]Watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, “Je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule Yerusalemu? Tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!”


[h=3]Basi si kazi yetu kumlaani hayawani huyu asiyejua afanyalo. Bwana huwaongoa watu kwa wakati ufaao na kuwapa daraja la juu zaidi ya tuliotangulia katika imani.

Nani anamkumbuka Sheikh Sharrif? Kwa taarifa, sasa hivi si Sheikh Sharif tena, bali ni Michael Sylivester Sewando na anaihubiri injili ya Bwana Yesu. Yule aliyelikemea Jina la Bwana, sasa analiinua. Soma hapa KUMEKUCHA MTWARA[/h][h=3]Kama ilivyokuwa kwa Saulo (Paulo), ikaja kwa Sharif (Michael) basi yawezekana ikawa na kwa huyu anayekojolea Biblia, lakini ENDAPO TU BWANA ATAMCHAGUA. Wakristo tukumbuke kuwa, kuwa kwetu wafuasi wake Yesu si kwamba sisi tulimchagua Yeye, bali Yeye alituchagua sisi miongoni mwa Mataifa. Yohana 15:16[/h]
Saulo alikuwa yu mwenye dhambi kubwa kuliko huyu asiyejua afanyalo, lkn Bwana si tu kwamba alimsamehe, bali pia alimp daraja kubwa kati yetu. Utumishi kwake Bwana ndio daraja, lkn hauji kwa kuwa tunataka, bali huletwa na Bwana mwenyewe kwa wakati ufaao.

Tumuombee daraja!

Wasalaaam, Mwana Mtoka Pabaya
 
Last edited by a moderator:
Filipo Mkuu! Hawana aibu hata kidogo ila Mi kwangu binafsi naona hata wangechoma moto kwani hakuna kulipiza hata punje kwani tuna IMANI ya kwamba MUNGU ambaye si mwanadamu atajidhihirisha kwa uwepo wake mwenye! Hawa ndugu zetu Waislamu baadhi yao wengi wamekosa elimu ya darasani na ndiyo inawagharimu sana,ila nawapa pole zao!


What a shame!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom