montroll
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 319
- 126
Mkuu, siyo ku-kopi (copy), ni occupy, yaani miliki au chukua, hili ni vuguvugu ambalo li
meanza kuenea sasa dunia yote ya nchi tajiri sana na zilizoendelea kiviwanda. Ni kwamba wananchi wanaandamana kupinga sera za kifedha (kiuchumi, zinazopendelea mabenki) za nchi zao na kutowajali wananchi wa kawaida ambao wanaathirika kiuchumi kutokana na sera hizo. Lengo la waandamanaji ni kuzitaka serikali zao ku-review sera hizo ili ziwe fair kwa pande zote, wananchi na mabenki. Vuguvugu hilo limepewa jina la Occupy...... halafu unataja jina la mji mnakoandamana. Mfano Occupy Tokyo.
weweee.. Najua nasema nini, sijakosea, kwa faida yako na wengine nime uliza kama tuige na sisi hiyo move ya europe na us.
Kaka vipi?
Uwe unaangalia katikati ya mistari pia.
Nimekusamehe hata hivyo.