Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Nahodha kaanze kufanya hii mitihani basi.
Ina maana Dr Shein yeye hatogombea tena?
Lolote linawezekana ila usisahau genda - Rose Migiro na Anna Tibaijuka,na hivi ccm inajitahidi 50 50 kwenye nafasi za mmamuzi usijeshangaa wanashindanishwa akina mama peke yao ili kuondoa makundi
Tumeona Marais wakatolic, waislamu, na Waziri Mkuu mara nyingi ni Mlutheri kasoro Pinda.
2015 ni zamu yetu sisi mnaotuita wapagani, mwone tutakavyoibadilisha nchi hii.
Dini zenu zinawafanya mwe vipofu wa kupendelea na kuchaguana kwa misingi ya dini.