Vua Gamba Vaa Gwanda, Ndani ya Ukonga Jumamosi hii 19/05/2012

Anapangua hoja ya udini,ukabila na ukanda na watu wanamkubali sana hoja zake

apanguwe tu ; hii iko wazi hata tukifanya nini mwanzo wa chama chetu unafahamika
ila kwa kuwa tunahitaji mabadiliko - si haba

M4C daima !
 
Suala la kutimuliwa shibuda haliko simpo kama wengi wanavyoweza kuamini. Tujifunze kutokana na yaliyojiri kwa akina Hamad Rashid na Kafulila.
Shibuda ametikisa kiberiti na chadema inaonekana wameingia kwenye mtego wake bila kujijua.
Kuendelea kumjadili ndiko anakokutaka yeye kwani anapata wasaa wa kureact, kitu ambacho ndio plan yake.

Kipindi kile alichofanya ushenzi wake halafu chadema wakakaa kimya, aliishia wapi..? Bila shaka alijiona mjinga, lakini sasa naona mmejiingiza kwenye tract yake.
Bavicha wamefanya kosa kubwa sana, huenda likaikosti chadema.

Labda ita cost cdm kwa wafuasi lakini si kwa wafuasi wa cdm au watu wenye akili zao timamu,wewe hauoni kua Hamad Rashid na Kafulila wao ndio wamekalia kuti kavu zaidi?wabunge wasioshiri vikao wala maendeleo ya vyama vyao,hauoni kama hii tayari ni doa kwao kwa mustakhabari wao wa kisiasa?Watanzania wa leo sio wa kushndwa kupambanua mambo kama unavyohisi,jaribu fikiria nje ya box
 
Pengine mimi na wewe tunaweza tukawa na mawazo sawa. Je watanzania wengine (wengi) wanaweza kuwaza kama tunavyoweza kuwaza hapa kwenye keyboard!?
 
Amepanda Henche,anamtambulisha kijana aliyepambana na Lusinde kule moro anaitwa Lamerk, na umeme umeleta tatizo kidogo

aliyesimama kwa tiketi ya chadema jimbo la mtera anaitwa lameck lubote.
huyo jamaa ni mpambanaji hatari ila ccm walitumia nguvu ya ziada.
huyu alikuwa mhasibu wa tanesco pamoja na udogo wake alijua ufisadi uliofanyika pale mtera na kuamua kuungana na timu ya wapambanaji ili kuuuleza uma ukweli.
 
Pengine mimi na wewe tunaweza tukawa na mawazo sawa. Je watanzania wengine (wengi) wanaweza kuwaza kama tunavyoweza kuwaza hapa kwenye keyboard!?

Mkuu watanzania wa leo si wa jana.Nilikuwepo kwenye mkutano Mazizini.Wananchi ndiyo walianza kupiga makelele kutaka Shibuda afukuzwe.Walipoambiwa wapige kura na Mwenyekiti wa Jimbo Bw Michael Aweda wote wakanyoosha mikono huku wakipaza sauti afukuzwe haraka iwezekanavyo.Wengine wamediriki kusema asipofukuzwa watamwachia Mbowe na Dr Slaa chama.
 
Pengine mimi na wewe tunaweza tukawa na mawazo sawa. Je watanzania wengine (wengi) wanaweza kuwaza kama tunavyoweza kuwaza hapa kwenye keyboard!?

Kwa ili la Shibuda walio wengi watakua na mawazo kama mimi na wewe tuwazavyo,believe me mkuu,Shibuda kwanza haieleweki anacho ongea,pili hata mvuto wake wa kisiasa ni sawa na hakuna,amebaki kua kama katuni fulani,alianzisha upuuzi wake c.c.m baada ya kumpuuza na kujistukia atapotea kisiasa akakimbilia cdm akiamini pia kua angepewa nafasi ya uongozi,baada ya kugundua hawezi kupata nafasi ya uongozi na atabaki kua mbunge tu,akaanza maneno yake ya wanawake wa kiswahili ya kusuta,baba mtu mzima haoni hata kama anaiaibisha familia yake kwa maneno yasiyo endana na jinsia wala umri wake!mimi naona huyu mtu ana madhara akiwa ndani ya chama ni bora kulifukuzilia mbali
 
Kwa kweli wengi wamejiunga na kuchukua kadi ila sina takwimu labda viongozi waliokuepo watujulishe hapa
 
Tarifa wakuu wangapi wamevua gamba na kuvaa gwanda. Taarifa tafadhali

Ni wengi sana.Ilisemwa pale na Mbunge Kiwanga ni zaidi ya kadi 100 zilikuwa zimeuzwa hadi mkutano unafungwa.Lakini baada ya mkutano kufungwa kulikuwa na foleni kubwa ya watu walikuwa wanaendelea kugombea kadi.
 
Suala la kutimuliwa shibuda haliko simpo kama wengi wanavyoweza kuamini. Tujifunze kutokana na yaliyojiri kwa akina Hamad Rashid na Kafulila.
Shibuda ametikisa kiberiti na chadema inaonekana wameingia kwenye mtego wake bila kujijua.
Kuendelea kumjadili ndiko anakokutaka yeye kwani anapata wasaa wa kureact, kitu ambacho ndio plan yake.

Kipindi kile alichofanya ushenzi wake halafu chadema wakakaa kimya, aliishia wapi..? Bila shaka alijiona mjinga, lakini sasa naona mmejiingiza kwenye tract yake.
Bavicha wamefanya kosa kubwa sana, huenda likaikosti chadema.

Mkuu Mkeshaji wananchi wenyewe ndio wamependekeza shibuda atimuliwe na akitimuliwa nakuhakikishia chama hakitayumba hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Salama kaka, tunaombamtupatie yaliyojili kule Ukonga katika mkutano wa hadhara mliofanya, bila shaka ulifanikiwa kwa kiwango gani? Tuko pamoja..
 
Muhimu pia kujua ni idadi gani ya watu waliovalishwa magwanda, ili ipate kuwauma hawa jamaa wa kijani.
 
Wakuu, tunawaomba mtupiamo na picha zilete hamasa! Mh. Mwita Maranya niambie kama Mkandarasi yumo!?

Mkuu Filipo pamoja na wadau wote mniwie radhi kwa kutopata picha kwa leo.
Panapo majaliwa kesho nitawawekea picha kwani leo nilikuwa na majukumu ambayo yalinifanya nisiweze kupata picha. Kuna mdau kaniahidi kunitumia kwa email kesho, so nikizipata tu nazitundika.

Btw, mkandarasi hakuwepo bado yuko morogoro.
 
Sijui lakini, hawa ambao daily tunawalalamikia kuwa wameongoza nchi miaka hamsini bila mafanikio, leo eti anakaribishwa kwa mikono na miguu chamani, whats wrong with u pipo, akiwa cdm ndo atabadilika? I dont get it kwa kweli, hao waliokuwa cdm wakaenda ccm kwa madai kuwa cdm hakuna jipya wamefanya nini la maana huko? Its absurd kwa kweli kujisifia kupokea magamba, kwa nini isitafutwe ngozi inayouzika

ngoshas wala usiwe na hofu na wanaovua magamba na kuvaa magwanda. Tatizo kuu na la msingi ccm ni mfumo hata mtu awe mzuri kiasi gani hawezi ku perform.
Wakija chadema wanapata nafsi ya kuwatumikia wananchi kwa moyo wao wote na uwezo wao wote bila vikwazo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom