Mkuu Molemo, Nimezungumza na dada Imelda (wa makao makuu) awepo kwa ajili ya kuuza hivyo vitu ameniahidi kwamba atakuwepo.
Thats why I Love CDM.You leaders are very proactive.Long live M4C.
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo, Nimezungumza na dada Imelda (wa makao makuu) awepo kwa ajili ya kuuza hivyo vitu ameniahidi kwamba atakuwepo.
Mkuu MD25 usiwe na shaka na hilo.
Baada ya mazizini tunakwenda kufunga kazi mtaa wa mzambarauni. Kuna watu kibao wako tayari kuvua magamba na kuvaa magwanda, na ndio wameomba tufanye mkutano maalum eneo hilo.
Kwahiyo tarehe 26/05/2012 jumamosi ya wiki ijayo operation vua gamba vaa gwanda itakuwa jirani kabisa na nyumbani kwa jerry slaa. Jiandae kuwepo mkutanoni.
Halafu huyu kijana Jerry Silaa nasikia anajiandaa kugombea Ubunge Ukonga.Naapa akipeleka mguu Ukonga na mimi nitajitosa tupambane.Huyu Kijana ameshindwa kufanya chochote akiwa kama meya wa Ilala.
Safari hii ccm hata wamsimamishe nani, lazima mafuriko ya Chadema yapite nae. Wamlete masaburi ama Jerry wote hao tunawamudu zaidi ya sana.
Tumejiandaa vizuri sana na bado tunaendelea kujiandaa kuhakikiha kwamba tunaizika rasmi ccm.
Mkuu Molemo. Huyu dogo, anajiona as if amezaliwa kuwa kiongozi, hata kwenye comments zake kwenye baadhi ya posts utaona anaandika hivi 'kuna watu wananionea wivu, kwa sababu watu wakiangalia mafanikio yangu na umri wangu na wakiangalia mafanikio yao na umri wao, wanabaki kunionea wivu'
yani kana akili za kitoto sana, kamabaki kutunisha tumbo tu, anachofanya ukonga hakieleweki. Ukimuuliza vipi kuhusu barabara ya mombasa - moshi bar, kanadai wananchi ndio hawataki maendeleo, yani nikapuuzi sana. Tokea awe diwani mwaka 2005, hakuna juhudi zozote za maana za kutafuta ufumbuzi wa maji safi (asinieleze habari za visima). Mbona ubungo wameweza kusambaza maji kupitia mradi wa wachina, yeye kwa nini asiige? Pia ukonga ni kubwa mno, watu ni wengi sana, hivi ni kwa nini hajaweza kuratibu ujenzi wa soko kubwa na lakisasa? Amebakia porojo tu, anakera sana huyu dogo.
kama wadarisalama nao wanavaa gwanda,basi tananyika imekombolewa rasmi !
Miongoni mwa wilaya ngumu hapa mjini ni TEMEKE, ila pia kesho pande za Kekomwanga kutakuwa na kazi sana maana tunaenda kuvunja mizizi yote pande za Keko Mwanga B pale!!
Kama kwa Mnyika, Mdee na Uncle Mpendazoe waliweza.....
Kitaeleweka tu hapa mjin.
Miongoni mwa wilaya ngumu hapa mjini ni TEMEKE, ila pia kesho pande za Kekomwanga kutakuwa na kazi sana maana tunaenda kuvunja mizizi yote pande za Keko Mwanga B pale!!
Kama kwa Mnyika, Mdee na Uncle Mpendazoe waliweza.....
Kitaeleweka tu hapa mjin.
Mkuu jouneGwalu niwatakie kila la kheri huko Temeke.
Bado sijaona vuguvugu lenu wilayani Temeke fanyeni amsha amsha ya kueleweka. Niliwahi kuongea na mwenyekiti wa Temeke bw. Yona kuelekeza nguvu maeneo ya Tandika, Yombo na Buza. Ccm imechokwa sana na cuf inapumulia mashine.
Mwita Maranya Tupe updates Mkuu, wengine tuko KM nyingi sana kutoka Ukonga
Molemo nae kadondosha uzi kuwa mkutano ni jumamosi ijayo tar 26/05/2012.Ktk Uzi huu taarifa zinasema mkutano ni leo tar 19/05/2012 vipi mbona taarifa ni tofauti?.Au mikutano itafanyika mara mbili?
Mwita Maranya Tupe updates Mkuu, wengine tuko KM nyingi sana kutoka Ukonga
Nilikuwa nataka kuja kwenye huo mkutano nimeishia pale Moshi bar nimerudi barabara mbovu sana...jimbo la Matola