Vua Gamba Vaa Gwanda, Ndani ya Ukonga Jumamosi hii 19/05/2012

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,564
7,973
Napenda kutumia fursa hii kuwafahamisha wadau wa JF kwamba jumamosi hii ya tarehe 19/05/2012 kutakuwa na mkutano wa hadhara eneo la Ukonga mtaa wa Mazizini katika muendelezo wa operation Vua Gamba Vaa Gwanda.

Pamoja na mambo mengine tutazindua ofisi ya tawi la mazizini na kuwavisha magwanda wanachama wapya wengi, miongoni mwao ni kutoka ccm.

Makammanda watakaoongoza mashambulizi jukwaani ni pamoja John Heche (M/Kiti Bavicha Taifa amethibitisha), ambao hawajathibitisha lakini wamepelekewa mwaliko ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Karibuni sana wadau.

UPDATES:
Hadi sasa maandalizi kwa ajili ya mkutano wa kesho yanakwenda vizuri sana.

Kama nilivyokuwa nimetaja hapo awali, waliothibitisha kuwepo kesho ni pamoja na John Heche (mwenyekiti wa Bavicha Taifa) na Mh. Suzan Kiwanga (MB) ambaye pia ni meneja kampeni msaidizi wa Chadema Taifa.

Viongozi kadhaa wa ccm toka kata za ukonga, kitunda, gongolamboto na pugu wanatarajiwa kuvua magamba na kuvaa kombati hiyo kesho.
 
nina wadau wangu hapo KM (kikosi maalum cha magereza) najua watakuja kwa wingi! People's power!
 
Napenda kutumia fursa hii kuwafahamisha wadau wa JF kwamba jumamosi hii ya tarehe 19/05/2012 kutakuwa na mkutano wa hadhara eneo la Ukonga mtaa wa Mazizini katika muendelezo wa operation Vua Gamba Vaa Gwanda.

Pamoja na mambo mengine tutazindua ofisi ya tawi la mazizini na kuwavisha magwanda wanachama wapya wengi, miongoni mwao ni kutoka ccm.

Makammanda watakaoongoza mashambulizi jukwaani ni pamoja John Heche (M/Kiti Bavicha Taifa amethibitisha), ambao hawajathibitisha lakini wamepelekewa mwaliko ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Karibuni sana wadau.

Pamoja sana mkuu.Hatimaye M4C imeingia Dar...
 
Asante sana mkuu, Fika relini kitunda kuna wadau wakubwa walikuwa wakisubiri kwa hamu sana mkutano huu,

Pia aliyekuwa meneja kampeni wa mbunge wa Ukonga Mh Eugine Mwaiposa, ndugu Nelson Murro aka DIBLO amejiengua katika ccm sambamba na wenyeviti kadhaa wa mitaa kule kitunda, hivyo wanasubiri mkutano huo kuhamia rasmi Chadema,

Nakuomba mkuu Maranya wasiliana na Mr DIBLO kwa namba 0713362717 mpe utarabu mzima wakutimiza lengo lao la kubadili sura ya Ukonga!

Pipoooooooooooz Pawaaaaaaaaaaaaa!
 
nina wadau wangu hapo KM (kikosi maalum cha magereza) najua watakuja kwa wingi! People's power!

MUSSOLIN ni kweli hiyo mitaa ya KM tuna makamanda wa kutosha, tumeshazindua ofisi ya msingi mtaa ule na kazi inaendelea.
Bila shaka tutakuwa pamoja jumamosi.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu, Fika relini kitunda kuna wadau wakubwa walikuwa wakisubiri kwa hamu sana mkutano huu,

Pia aliyekuwa meneja kampeni wa mbunge wa Ukonga Mh Eugine Mwaiposa, ndugu Nelson Murro aka DIBLO amejiengua katika ccm sambamba na wenyeviti kadhaa wa mitaa kule kitunda, hivyo wanasubiri mkutano huo kuhamia rasmi Chadema,

Nakuomba mkuu Maranya wasiliana na Mr DIBLO kwa namba 0713362717 mpe utarabu mzima wakutimiza lengo lao la kubadili sura ya Ukonga!

Pipoooooooooooz Pawaaaaaaaaaaaaa!

Nimekusoma kamanda Yericko Nyerere. Nitamvutia waya mapema kabisa na bila shaka jumamosi atavaa gwanda rasmi!
 
Last edited by a moderator:
Mkutano utafanyika katika uwanja wa ofisi ya serikali ya mtaa wa mazizini kuanzia saa nane kamili mchana.
 
Du kama angefika jembe letu LEMA huko mngepata ELIMU kubwa sana huko ok hata MSURE wangu anaishi huko angepata full elimu ya ukombozi wa sasa
 
Sema Chilo wala usitie shaka mkuu. Jumamosi ya Tarehe 26/05/2012 tunafunga mtaa mzambarauni na Majembe ya uhakika Godbless Lema na Kiboko Vicent Nyerere watakuwa wakiongoza mashambulizi.
So stay tuned!
 
Last edited by a moderator:
Niliishuhudia CCM ikizaliwa mwaka 1977, namwomba Mungu anipe uhai niweze kushuhudia ikifa ili Watanzania waweze kuwa huru tena. Mkuu Mwita Maranya, endeleeni kuendesha "operation vua gamba vaa gwanda", gamba linawafaa tu wanyama waliolaaniwa na kubaki wakitambaa...

Mkuu Mag3 pamoja sana kamanda.
Tumedhamiria kuizika kabisa ccm, ndio maana unaona tunaendelea kuwapa elimu wananchi bila kuchoka.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Mkuu Mwita Maranya, tunawatakia kazi nzuri. Pii, hii ni salamu kwa mpenda totoz Jerry Silaa, mkimaliza huko mazizini, mkapige M4C mwisho wa lami na maeneo yote ya Gomz, tunataka 2015 ccm hakuna rangi ambayo hawataacha kuiona... Viva CDM!
 
Nawapongeza sana viongozi wa cdm huko ukonga. Ni wazi kuwa Dsm inahitaji m4c kuliko hata ddm maana huwa wanatuangusha sana! Huku Arusha ccm ilishakufa kabisa. Tunachokifanya ni kukusanya masalia yao tuizike kabisa.
Peoples power!!!
 
Safi sana Mkuu Mwita Maranya, tunawatakia kazi nzuri. Pii, hii ni salamu kwa mpenda totoz Jerry Silaa, mkimaliza huko mazizini, mkapige M4C mwisho wa lami na maeneo yote ya Gomz, tunataka 2015 ccm hakuna rangi ambayo hawataacha kuiona... Viva CDM!

Halafu huyu kijana Jerry Silaa nasikia anajiandaa kugombea Ubunge Ukonga.Naapa akipeleka mguu Ukonga na mimi nitajitosa tupambane.Huyu Kijana ameshindwa kufanya chochote akiwa kama meya wa Ilala.
 
Back
Top Bottom