Vua gamba Vaa Gwanda Houston TX yawa moto

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
chadema usa
Makongoro Wassira Avua Gamba avaaa Gwanda Houston TX
http://www.chademausa.blogspot.com

Updates

Moto umeanzia Houston sasa wanafamilia waendelea kuvua magamba na kuvaa Gwanda haachiwi mtu mwaka huu.
 

Attachments

  • IMG_1639.JPG
    IMG_1639.JPG
    849.8 KB · Views: 140
  • IMG_1642.JPG
    IMG_1642.JPG
    895.1 KB · Views: 113
Acha wivu, hongera kwa aliyetolewa tongotongo. Vua gamba vaa Gwanda huo ndio mtindo wa leo.
 
Hivi Houston nako kuna mapimbi kiasi hiki? Hao watu wapo baa wanapata kinywaji hebu waulize hata kama wanaijua katiba ya Chadema; Houston pamejaa wasanii watupu hapo wanawahabarisha ndugu na jamaa bongo bado wazima unajua wengi wana 10+years hawajaikanyaga bongo!

Chama
Gongo la mboto DSM

Kwani mlevi chi mtu ba! bana weye wachekesha.
 
Hivi Houston nako kuna mapimbi kiasi hiki? Hao watu wapo baa wanapata kinywaji hebu waulize hata kama wanaijua katiba ya Chadema; Houston pamejaa wasanii watupu hapo wanawahabarisha ndugu na jamaa bongo bado wazima unajua wengi wana 10+years hawajaikanyaga bongo!

Chama
Gongo la mboto DSM
lazima una matatizo
jiulize hapa tz wangapi wanaijua katiba za ya ccm, cuf Chadema etc au hata ya Tz siku zote katiba zipo issue ni utekelezaji wake

M4C ipo popote maadamu tu patafaa kwa shughuri ya M4C hata nyumbani kwako tutakuja tu
 
bajeti inategemea walevi chama ukitutukana tutakwamisha maendeleo ya nchi pls tuheshimu kama serikali yako inavyotuheshimu.
 
Baada ya kaka kuingia CDM dada waingia kwa kasi mpya na wote ni mashahidi. Nia ya CDM ni kuwaunganisha Watanzani popote pale walipo. Kila mtanzania anahaki sawa ya kutetea nchi yake na rasilimali zake kwa ajili ya kizazi cha leo na kesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom