Vp mliotoka bodi leo kuhusu boom kabla ya UE?

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Respect kwa wote! Wanaharakati wangu wa udsm vp bodi wametoa jibu gani kuhusu boom kabla ya UE? Naombeni mnijuze wadau maana sikupata info baada ya levo square ya leo.
 
serikali imefilisika,we endelea kupga shule 2 mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom