vp madrid kafulia?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid IMEFULIA?????
 
Mpira unadunda and anything can happen. Nina imani hawa mafahali wa La Liga will be back next season as strong as ever. Yesterday BM showed that they wanted it more than RM
 
Baulize batuelezee mkuu! Maana kuna watu wana mawazo utadhani wamekurupushwa, haikuwa mara ya kwanza kwa Barça kutolewa kwenye nusu fainali, lkn ukifuatilia mawazo ya watu humu na hata kwenye vyombo vya habari ilikuwa zaidi ya udaku...
 
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid IMEFULIA?????

Haswa!! Nilitaka kulileta hili jamvini leo mchana
 
Kwanza nafurahi kuwa Barcelona inamashabiki wengi sana, pia ni tim maarufu dunia nzima. Siku ile baada ya kutolewa mitandao yote ilikuwa busy na tv through dstv zote zilikuwa na scramble. Lakini jana Madrid hii thread imechangiwa na watu watatu tu mpaka sasa.
Then you can see. But am very happy Madrid and Ronaldo they are out till next year. Messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii has a chance to win fifa d'or
 
viva barcelona with our new couch TITO vanova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom