vp kama angekua ni mwanao..?

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
Mtoto wa miaka tisa kajifungua mtoto huko mbalizi mkoani Mbeya.
Alipewa mimba na kaka yake (mtoto wa mama yake mkubwa) mwenye umri wa miaka 18, ambaye alikua akimtishia kwa kisu ili afanye nae mapenzi
Mtoto huyo alipogundulika na mimba mama yake alimficha ndani kwa miezi saba ili watu wasimuone, na mtoto wake anaendelea vizuri tu

Habari zaidi soma gazeti la Mtanzania ya leo Jan 7

Jamani tunaelekea wapi haki ya nani tena mwe!
 
Wazazi wajaribu kua karibu na watoto wao!Huyo mtoto angekua hawaogopi wazazi wake angewaambia baada ya mara ya kwanza!Inasikitisha lakini...miaka 9 ni mdogo sana kukutwa na maswahibu kama hayo kwakeli!
 
AIBU...
Incest!
Kwa mila zetu wengine, huyu kijana anatakiwa aende exile kwa miaka zaidi ya 20 ili akute huyo mwanae alishaolewa!
 
Wameamua kuuongeza ukoo!!
May b Kabinti nako kalitaka coz sahivi imekuwa issue kubwa kosa la Doggo!!
Vitoto vya siku hizi vinajifunza MAPENZI vikiwa na UMRI mdogo sana huo ndo UTANDAWAZI!!!
Wamenikumbusha KOMBOLELA au mchezo wa BABA na MAMA!!!!
 
Ni kwamba mtoto aliyebakwa ni yatima na aliyembaka ni kaka yake mtoto wa mama yake mkubwa ambaye ndiye mlezi wake kwa sasa.
Mbakaji ana miaka 18 na alikuwa akimshikia kisu binti ili aweze kupewa vituzzzzz!!
Mjumbe ametoa taarifa baada ya kumuona binti anachechemea wakati akienda kuchota maji huku akichuruzikwa na usaha ndipo alipo hoji vipi na kila kitu kujulikana but before that binti amefichwa ndani kwa miezi sita tangu alipojifungua kwa ukweli si habari nzuri.
 
Wameamua kuuongeza ukoo!!
May b Kabinti nako kalitaka coz sahivi imekuwa issue kubwa kosa la Doggo!!
Vitoto vya siku hizi vinajifunza MAPENZI vikiwa na UMRI mdogo sana huo ndo UTANDAWAZI!!!
Wamenikumbusha KOMBOLELA au mchezo wa BABA na MAMA!!!!
Jaribu kuwa na huruma hata kidogo itakusaidia sana. Mtoto wa miaka tisa alitaka kufanya mapenzi??????? Haingii akilini.
 
Wameamua kuuongeza ukoo!!
May b Kabinti nako kalitaka coz sahivi imekuwa issue kubwa kosa la Doggo!!
Vitoto vya siku hizi vinajifunza MAPENZI vikiwa na UMRI mdogo sana huo ndo UTANDAWAZI!!!
Wamenikumbusha KOMBOLELA au mchezo wa BABA na MAMA!!!!

hakuna kombolela ya 9yrs na 18yrs ni ubakaji
 
katika kesi nyingi za ubakaji,hasa kwa watoto hata uwe nae karibu vipi,mtoto akitishiwa huwa hasemi na mbakaji unaweza ukawa unakaa nae nyumba moja.kwa kuwa ni mtoto kila unachoambiwa kinakufanya uogope kusema.kikubwa zaidi kama mzazi,mtoto anaweza akabadilika tabia,akawa mkali sana au anakasirika ovyo au maendeleo ya darasani yanashuka.inasikitisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom