Elections 2010 Voting status

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Wadau,
Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana. Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja na email niliyotumiwa ni sahihi kwa asilimia 100. Napendekeza sote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho. Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.
Link ya kufuata ni hii…
The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 
Safi sana, sijui wale wasio na access na mitandao watafanya nini
Majina ya wapiga kura yatabandikwa vituoni siku nane (8) kabla ya uchaguzi; pia kutakuwa na njia ya kutumia SMS (hapa itabidi ulipie shilingi mia tatu) mkuu.
 
Back
Top Bottom