volume control program

BUSARA6

JF-Expert Member
Jan 8, 2007
357
51
Wataalam naomba mnisaidie kuirejesha volume control kwenye taskbar. Nahisi nime delete kimakosa. Nikajaribu kwenda kwenye sound and audio devices na ku tick ile box, imekataa na inasema the volume control program has not been installed. To install it use add/remove program in the control panel. Sasa hapo ndio nashindwa sijui nifanyeje. Natumia windows xp. Thanks
 
Back
Top Bottom