Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu habari zenu.. nimenunua moderm kutoka vodacom ambayo unaweza kuitumia kama wireless. moderm hii ni aina ya Huawei ssid: Vodafone Mobile WiFi na speed yake ni 7.2Mbps. nataka niichakachue ili niweze kutumia line yoyote nawauliza wanajamvi kama hii kitu inawezekana au nisijisumbue..nilipo speed ya voda ni ndogo sana.