sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
nauza simu tajwa hapo juu.. nadhani tangazo lake linafahamika kwenye TV so wakuu simu inajulikana.. nimetumia siku tano... ina kila kitu ambacho nimenunua pamoja nayo pale vodashop mwezi uliopita mpaka risiti.. kwa sasa nimeiweka tuu siitumii. Bei 120000/- tshs