Vodacom yazindua kupiga simu kwa bei nafuu, na ofa ya ujumbe mfupi/SMS na intaneti

hawa voda wana roho mbaya sana badala kutoa kitu kama bundle ya 400mb kwa hata book tatu hivi eti wanatoa free facebook na twitter ya nini!!!
 
Sasa mbona TIGO walianza ofa ya 1/4 shilingi toka zamani za dahari, wao ndio wanazindukA leo, eti usiku wa saa 4, wakati watu wanalala saa2-3?
 
Sasa mbona TIGO walianza ofa ya 1/4 shilingi toka zamani za dahari, wao ndio wanazindukA leo, eti usiku wa saa 4, wakati watu wanalala saa2-3?

Wanataka watu WASILALE kumbe we hujui? Kama kweli ni waungwana ofa hizi zingekuwa wakati wa mchana.
 
Back
Top Bottom