VODACOM yatoa of ya internet

Wakuu hyo ofa speed yake noma halafu kila asubuhi wanakukumbusha kwamba bdo unainternet ya bure peruzi jf uone watz wanasema nn!..
Big up kazi ni kwako!.
 
mm ndio maana nawachukia Vodacom katika Internet hata katika B/B si wakweli kabisa
Niliidhani ni mimi tu niliye experience hivyo. Hawa jamaa wana hila kweli kweli. kama ukiliipia kwa mwezi inakuwa na kasi ya ajabu wiki nzima.
Ya piili spindi inapungua na ya tatu zaidi na ya nne mpaka inakera! Na ikiwa ya wiki una takribani siku tatu hivi na zinazofuata ni ovyo ovyoo tu. Sijui kama tume ya mzwasiliano wanalijua hili? Na nasikia hali nihiyohiyo kwa Airtel na Tigo! Tutafika kweli?
 
Mbona terms na condition zipo wazi kaka? Utatumia 2gb kwa speed after that speed itadrop hadi 64KBps usishangae kaka hiyo wiki ya 1 ulimaliza 2gb zako then wakakushusha kwenye speed ndogo.

At&t marekani unlimited dola 59 kama elf 90 ya huku ungelipa mkuu??

Kama unataka unlimited isiyoshuka speed ni zantel siku 3 kwa sh 10,000 sawa na mwezi laki moja
 
Ila ni kwanini hii ofa inatolewa kwa baadhi ya watu?

Kutakua na kitu wanafanya research sio bure maana kama wanataka kuwapa watu wachache kuna haja gan ya kumwambia mtu aunge? Si wangewapa tu hao watu wachache wanaotaka.

Unaweza kuta wanafanya research je watanzania wakipewa vya bure wanavichukua au wanaacha
 
kwani hiyo ya 250 ni unlimited?

Yeah piga *102*250# unapata unlimited kwanzia saa tano usiku mpaka saa moja asubuhi and i swear speed ni 400kbps ikishuka sana ni 300 or 200 ni noma afu (huku nikinong'oneza) Jamaa hua wanasahau kuifunga cjui, huwa inapiga kazi hadi saa moja usiku bhuree
 
Mimi nimepata hiyo ya *704#, speed nzuri,network safi. But kajaribu jirani,ikagoma, na natumia kama week na, mwisho tarehe 8,wameniambia.
 
Ofa hii ilikuwa kwa baadhi ya namba tu. Nadhani ni wale musiotumia vodacom internet munaonjeshwa. Mi nina bundle ya mwezi ya voda kwenye simu. Speed matata sana...
 
Yeah piga *102*250# unapata unlimited kwanzia saa tano usiku mpaka saa moja asubuhi and i swear speed ni 400kbps ikishuka sana ni 300 or 200 ni noma afu (huku nikinong'oneza) Jamaa hua wanasahau kuifunga cjui, huwa inapiga kazi hadi saa moja usiku bhuree

shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom