VodaCom wamebadili jina kuwa tritel?

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
jamani toka jana simu yangu inaandika mtandao wa tritel wakati mi natumia vodacom,hivi hawa voda wanataka kubadili jina?
 
Mbona kwa wengine hiyo Tritel haionekani kwa wengine. Na Tritel ni mtandao uliowahi kuwepo,ila ulishanunuliwa na Mobitel(sasa Tigo)
 
mi sijui isee what is happening au ndo wazee wa 666
 
jamani toka jana simu yangu inaandika mtandao wa tritel wakati mi natumia vodacom,hivi hawa voda wanataka kubadili jina?

Labda sim yako yanasa mawasiliano toka kwa setilite moja kwa moja. Hongera utakuwa huchajiwi gharama za mawasiliano.
 
Mbona kwa wengine hiyo Tritel haionekani kwa wengine. Na Tritel ni mtandao uliowahi kuwepo,ila ulishanunuliwa na Mobitel(sasa Tigo)

Hii siyo kweli kwani Mobitel (now Tigo) walikuja Tanzania kabla ya hao Tritel. Tritel walikuja baadaye na ndo wa kwanza kuja na simu aina ya GSM na kuongeza ushindani kwa Mobitel kwani kipindi hicho Mobitel walikuwa wanalipisha hata kupokea simu maana walikuwa peke yao kwenye soko la simu za mikononi. Baadaye Tritel wakafilisika na kufungasha virango vyao.
 
Back
Top Bottom