Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,027
35,837
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
 
lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
Point zanini kama unakiri kuwa huyo ni Mnafiki
lengo kumvurugia mtu!!
toa point wewe
 
Diamond hajaondolewa
Diamond dili lake lilikuwa kutangaza ile issue ya deile
Hili la Bando Diamond hahusiki na ndo maana hayo mabango ya dabo bando kwa mpesa yalikuwepo kabla huyu hajasema kitu

Lakini jana na leo ya Deilee yote yameondolewa yamewekwa ya dabo bando
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Nipe link ya kusoma kisa chenyewe sijui kitu hapo
 
Duuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni

hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.

Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.

MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!
 
Lara1 upo wapi nikushike mkono? Diamond sio mtu wakumpa heshima alikuwa anapata while hana nidham ya maisha hasa uwo unyanyasaji wa wanawake akifikiri wamekuwa chupi anabadilisha nakutupa au kuchoma moto na hakuna wakumuuliza. Haki imetendeka na nina iman ni darasa tosha kwa kila msanii.
 
Back
Top Bottom