Vodacom ubungo plaza

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,425
1,439
Vodacom Ubungo Plaza mbona wamelala?

Nilikuwa na shida ya M-Pesa nikamkuta mwanamke mmoja mweupe mnene kavaa miwami ananijibu kama hataki. Kwanini uliomba kazi vodacom?

Ndiyo tatizo la watanzania hawajui customer care; subiri tujiunge east africa community muone
 
POLE SANA MKUU, BONGO CUSTOMER SERVICES NI ZEROOOOOOOOOO WANATIA HASIRA SANA HAWA WATU KAMA WAMELAZIMISHWA WANAHARIBIA BIASHARA WATU HAWAJUI TU.............................


:frusty::frusty:
 
iyo ilibinafsishwa iko chini ya dada mmoja ivi ambaye alikuwa mwajiriwa wavoda tatizo la kuweka undugu kwenye kazi sasa hapo hamna kinachofanyika tena
 
Sijui hawawapeleki kwenye mafunzo,wanachefua roho hawa wakuone ni mwanamke ndio midomo imefungwa nangaa...
 
mpuuzi huyo mbaya,hawana tofauti na tgo shop pale manzese darajan yan cku nyngne wanafungua sa5 au 6 mchana. Wajinga sana
 
Huyu mwanamke alishawahi kunichefua roho karibu nimchape makofi pale kwenye meza

customer care wengi ni vilaza kielimu..tayari wana ile hali ya kushindwa hivyo confidence ni F...kitu kinachopelekea kujihami kwa kutoa lugha chafu(defending mechanism)...hali hii pia ipo kwa waalimu,mapolisi na wafanyakazi wengi wa kada za chini
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom