Imeingia mkataba na Vodacom na kuchukua staff wa Vodacom upande wa operations, na inafanya sehemu kubwa ya kazi za voda.NSN mbona sio Vodacom? Hii ni separate company
Mkuu,Yasemekana hali si shwari ndani ya Vodacom Tz hususan baada ya mkataba kati yake na Nokia Siemens Networks (NSN) kitengo cha Operations.
Mkuu,
tuwekee huo gufaili wazi. Maana kudownload miatachimenti kunamaliza hela kwenye visimu vyetu,haswa sisi tunajivunia na sh 700 kwa intaneti ya siku moja.
Imeingia mkataba na Vodacom na kuchukua staff wa Vodacom upande wa operations, na inafanya sehemu kubwa ya kazi za voda.
What about Airtel, nao hawawatumii NSN? To my understanding Ni Tigo tu walio na different arrangement
Mkuu Kamanda Moshi nashukuru sana. Ubarikiwe kupita maelezo.
Shukrani nyingi ziende kwa Moshi aliyepaste document. Nimeisoma vizuri na kuona kuna haja ya wabongo kulinda ajira zao lasivyo watachukuliwa kila nafasi hata ya Umessanger!!!
Imeingia mkataba na Vodacom na kuchukua staff wa Vodacom upande wa operations, na inafanya sehemu kubwa ya kazi za voda.
Inasemekana wanacheki upepo voda halafu watahamia Airtel. Serikali isipokuwa makini itajaza vijana wake mitaani kwa kuwapa hawa wahindi/makaburu nafasi hata za kawaida kama Human resource, Engineers wa kawaida kama nilivyosoma juu apo jambo ambalo hata wazawa wangeweza kufanya. La msingi ni hao waliokuwepo NSN wasimame kidete kutaja maovu ya. Kwao serikali haiwezi kujua kiundani nani anastahili ajira halali na mgeni nani hastahili.!! Waajiriwa wa NSN wekeni data zaidi hapa wadau wawasaidie kupaza sauti zenu acheni uoga.
Only in Tanzania ndio inawezekana! Huwezi kuacha sheria za ajira ziende kwa wageni kiasi hiki, hata Ulinzi mmh......you mean Xenophobia... inabidi kwani Migodini Kaburu ni wengi mno wanafanyakazi ya Ulinzi. Uliza mshahara na allowance zake, weeeeee utachooookaa!!