Vodacom, tigo na Zantel tuwape adhabu gani ili iwe mfano?

nafikiri watu wakijua majority share zinamilikiwa na nani, na composition ya bodi ya wakurugenzi wanamuelekeo wa chama gani, utapata jibu kwanini hawakutokea ktk top five na huku wanapata faida kubwa

hata kwenye kubadilisha nembo walikwenda ikulu
hahahahahaha hawa jamaa wako wazi sana kwenye mambo yao sema sisi tu ndio hatuoni
 
Kuwa kampuni kubwa haina maana kupata faida kubwa.

Mkuu Kang.kipi kinafanya kampuni kuitwa kubwa? mimi ni engineer sina knowledge ya kutosha ya uchumi lakini what i know kampuni huitwa kubwa kutokana na turnover yake.Workforce,majengo and other resources vitakua/kuongezeka/kupungua kulingana na turnover.Nisahihishwe kama nimekosea
 
airtel sahivi wizi vibaya mno wanatuibia vocha kila siku ukiwapigia wana kuambia matatizo madogo ya mtandao.....
 
Hakuna haja ya kuyalaumu hayo makampuni yasiyolipa kodi, shida hapa iko kwenye serikali yetu na viongozi wake, viongozi wetu wengi wana hisa kwenye makampuni makubwa na mengi ya hayo hayalipi kodi kabisa na hakuna mtu anayeweza kuwauliza au kuwawajibisha, ukitaka kufungua kampuni Tanzania ingia shea na mkubwa yeyote wa serikali hata kama hatoi hata pasenti moja ya shea, Tena mpe awe board chairaman au mtoto wake awe mkurugenzi mkuu, ume win.
 
mi nlidhani mnazungumzia matatizo ya huduma za cm. Unajua hawa nyau wa tigo wananikera sana mana haka ka mtandao kao ni kimeo sana. Cm mara haipatikani, mara imekatika, mara kelele basi kero tupu....wananikera sana. Pumbav....!
 
kinachosikitisha zaidi, vodacom ndio vinara wa kucharge gharama kubwa. kwa sasa airtel wananongoza kwa unafuu wa bei, lakini pia wameongoza kwa kulipa kodi. mi nadahni tuwaunge mkono.

tigo haiwezi kufanya vizuri kwa kuwa kila baada ya miaka mitano, wanabadilisha jina hivyo kuepuka ulipaji wa kodi. sheria ya uwekezaji ndiyo inayotugharimu.
 
Back
Top Bottom