Vodacom,Tigo + airtell nani mkali wa promoo

newtonfox

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
217
93
Halloo... najua... hapa kila mtu anaijua mitandao... hii na almost watu wengi... hau ukanda fulani unakuta... wanapendelea+ kutumia network fulani ... vip wana jamii kama unajua promo zote za hawa jamaa + matumizi vipi unaona wapi...ni wakali na wanafaa.... kwenye market japo... wote wako kwenye compition fulani hivi kama voda na airtell( MPESAvs Airtellmoney) hama voda vs tigo( internet,sms, [cheka]+ tigoextreme (megabox)) ipi ofa ya mtandao fulani unaikubali zaidi ...na yupi anafaa hama mkali wa promoo... sema neno...tupambanishe ukweli
 
hapo hakuna ubishi, mshindi ni voda!! kuanzia internet, viwango viko poa sana sms & calls cheka ya 400 ina maliza kila kitu, pia wana mgusa kila mtu hadi wa hali ya chini wame guswa.
My Vote goes to Vodacom Tanzania.
 
Tigo nawakubali but network yaoo haiko stable... mara sms zifeli kwenda... + internet oops.... voda ni balaa hasa wanajua matangazo
 
katika mda niliotumia mtandao voda wapo juu sana , ingawa Airtel kwa internet wapo juu kwa kiasi chao. Tigo bado wanaiga na kuona lipi la kufanya katika sehemu na sehemu maana kuna sehemu wanaweka ofa na sehemu wanabania katika nchi hii moja.
 
vada wapo juu axee tsh 200 saa 4ucku hadi 1asubuhi intanet isiyo na kikomo afu speed fresh
 
airtel matapeli katika hii airtel money, Huwezi pewa huduma bila kulipia
What i know is there is no free lunch.
 
hapo hakuna ubishi, mshindi ni voda!! kuanzia internet, viwango viko poa sana sms & calls cheka ya 400 ina maliza kila kitu, pia wana mgusa kila mtu hadi wa hali ya chini wame guswa.
My Vote goes to Vodacom Tanzania.

hapo umesema uwongo, cheka ya voda ina masaa, ya tigo ni 24hrs
 
Tigo ndo mpango mzima hasa kwa gharama zao wengine wanaiga tu. itakumbuka voda na airtel walikuwa hawataki kupunguza tarrif zao hadi tigo walipopunguza kwa muda mrefu ndo wakastuka. Afu voda ni mtandao wa mafisadi akina Rostam Aziz (siwapendi balaa) . Airtel wahindi wanawanyanyasa ndugu zetu wabongo, sasa kajionee wahindi walivyojaa pale. TIGO NEMBERI WANI BANA
 
... network... ya tigoo ovyoo tusibishii... inaonekan... systen yao inamambo mengii iwezi ku hundle mzigo... voda network yaoo iko strong... na ni wakali wa promoo.... kama sms ni sms kweli no kugomagom kam tigo ati not sent ..... M3GABOX... IS NOT STRONG AS SUPACH3KA ata kam ni 24 hrs....maana ata wa sh 200 anakula rahaa yake... 300,400 2000 kwa siku,wiki,hat mwezii... niwewe tu
 
acha uwongo cheka ya voda kwa sasa haina masaa mwanzo mwisho na ukimaliaza unajiung tena so hakunaga kama voda the# 1

cheka ya voda ya mara kwanza ilikuwa 2.00am up to 17.00pm, now wameongeza vimasaa tu hadi 00.00 (saa sita usiku)
huu ni ukweli!! wewe ndio unataka kuleta uwongo!
 
Tigo ndo mpango mzima hasa kwa gharama zao wengine wanaiga tu. itakumbuka voda na airtel walikuwa hawataki kupunguza tarrif zao hadi tigo walipopunguza kwa muda mrefu ndo wakastuka. Afu voda ni mtandao wa mafisadi akina Rostam Aziz (siwapendi balaa) . Airtel wahindi wanawanyanyasa ndugu zetu wabongo, sasa kajionee wahindi walivyojaa pale. TIGO NEMBERI WANI BANA

mkuu umesema kweli, tigo ndio mtandao wetu wa walala hoi,
 
bisha kama huna laini ya tigo?
unachonga lakini ukweli unaujua!

... network... ya tigoo ovyoo tusibishii... inaonekan... systen yao inamambo mengii iwezi ku hundle mzigo... voda network yaoo iko strong... na ni wakali wa promoo.... kama sms ni sms kweli no kugomagom kam tigo ati not sent ..... M3GABOX... IS NOT STRONG AS SUPACH3KA ata kam ni 24 hrs....maana ata wa sh 200 anakula rahaa yake... 300,400 2000 kwa siku,wiki,hat mwezii... niwewe tu
 
... network... ya tigoo ovyoo tusibishii... inaonekan... systen yao inamambo mengii iwezi ku hundle mzigo... voda network yaoo iko strong... na ni wakali wa promoo.... kama sms ni sms kweli no kugomagom kam tigo ati not sent ..... M3GABOX... IS NOT STRONG AS SUPACH3KA ata kam ni 24 hrs....maana ata wa sh 200 anakula rahaa yake... 300,400 2000 kwa siku,wiki,hat mwezii... niwewe tu

kwa hiyo ndio umeamua kuwapigia promo kinamna hiyo ni vizuri walikuwepo kina customercare sijui walifia wapi naona na wewe unakuja kidizaini hiyo poa kijana nice promo..
 
voda #1. wanachoniboa ni uhesabuji wa dk zao. network ya tigo kimeo sana. niliconfiga email a/c zangu kwny cm yangu ili niwe napokea email automatically lakn tigo ikanisumbua... nikitumia voda inakua poa xana. Watu wa dar na majiran zao mmezoea sana tigo lakn hamna kitu.
 
Back
Top Bottom