Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 823
Nenda PM tafazali.Mkuu PM yangu umeiona? Naletewa the same response.
Nenda PM tafazali.Mkuu PM yangu umeiona? Naletewa the same response.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
na tutapigwa xana wanapigwa twiga mchana wa Jua kali nn visent vyetutumechoka waibe tu na wakupigwa wapigwe tu tumechoka LIWALO NA LIWE serikali ya utawala unaojali haki za binadamu na utawala bora tena sikivu
nakerwa sana na huduma zenu.kwanza ninapo kwenda ku swap sim card yangu.utaambiwa mpesa nirudi baada ya masaa 48.huo ni usumbufu sana kwa wateja kwanini msiwe kama wenzenu tigo tu.hapa naitaji nifunguliwe mpesa muda wa kwenda ofisini kwenu.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Cccd*Huduma zenu ni za kishenzi Sana, nyie ni wezi wakubwa.
Nimeshatupa na line yenu hamfai kabisa.
Mbona Vodacom Special Thread Haijibu Kero Zetu ?Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Vodacom Mnamo Tarehe 10.04.2016 Majira Ya Saa Mbili Kwa Dar es Salaam Upande Wa Simu Yangu
Mawasiliano Hayakuwepo Nilifanya Utaratibu Kuuliza Kwa Baadhi Ya Watumiaji Wa Vodacom Nao Hawakuwa Na Mawasiliano Kwa Muda Nadhani Kama Masaa Zaidi Ya Matatu Sina Hakika Kama Ni Wateja Wote Wa Dar Ama Baadhi.
Jana Nilipokea Ujumbe Toka Vodacom Ukiniomba Radhi Kwa Hilo Tukio La Katizo La Mawasiliano Ghafla
Usemao:-
Tunaomba Radhi Na Tunakuzawadia Dakika 10 Vodacom - Vodacom ,Mb 25 Na Kutuma Sms 50
Hadi Tarehe 13.04.2016 Saa 06:00 Usiku Ndiyo Mwisho
Wa Kutumia Zawadi Hii.
Jana Nilitumia Mb,Ujumbe,Dakika Za Zawadi Hii Kiasi Kidogo Nikiwa Na Maana Hazikwisha Hizo Mb,Ujumbe Na Dakika Ajabu Leo Asubuhi Nilipojaribu Kutumia
Naambiwa Huna Mb,Ujumbe Na Mb
Ikumbukwe Sikuomba Wanipe Zawadi Hiyo Na Huo Ujumbe Walitumiwa Naamini Watumiaji Wengi Wa Vodacom Baadhi Ya Watu Niliona Nao Wakipata Huo Ujumbe.
Nilipoona Huo Ujumbe Haufanyi Kazi Nilipiga Huduma Kwa Wateja Kuhoji Kwanini Mnipe Zawadi Ya Mb,Dakika,Na Ujumbe Usiofanya Kazi?
Hao Wahudumu Wenu Wako Chini Ya Kiwango Kwanza Hawakuwa Na Majibu Zaidi Ya Kusema
Subiri Nitazame Vizuri Akaja Na Jibu Tupigie Simu Baada Ya Nusu Saa.
Nilipopiga Baada Ya Nusu Saa Mtoa Huduma Akawa Hana Jibu Zaidi Ya Kujiumauma Na Kujibu Kuwa Haoni Mb,Ujumbe Na Dakika
Nikamuuliza Hivi Huo Ujumbe Wa Kuomba Radhi Mmetuma Ninyi Na Huna Jibu
Nikamwambia Sijaridhika Na Majibu Yako Zaidi Usanii
Hivi Ninyi Vodacom Kwanini Hambadiliki Na Kutatua Kero Za Wateja Wenu
Huu Mliofanya Ni Usanii
Mimi Namba Yangu 0756-457061
Tazameni Na Hao Wahudumu Wenu Kwanini Hawana Majibu Mteja Anapotaka Ufafanuzi
Thread Hii Wateja Wanatoa Kero Hamsaidii Wala Hambadiliki Na Wengi Wanasema Wanawahama.
Tumefuatilia suala lako Kennedy, kifurushi kiliwekwa na ukaanza kukitumia tarehe 12.04.2016 saa 12 na dakika 24 jioni kufikia kesho yake kikawa kimeisha.Habari Kennedy, tumewasilisha suala lako kwa uchunguzi zaidi ili kuweka kuangalia matumizi na kufahamu endapo kufikia hiyo asubuhi ulikuwa na kifurushi cha intaneti au kilikuwa kimekwisha.