Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Amia airtel

Naungana nawe Mkuu 100%, imagine kwa mwendo huo ni wangapi wanaibiwa, mtu akiambiwa gharama ya statement anakata tamaa anaondoka, kwa maana hiyo hawezi kujua kinachoendelea kwenye account yake
 
Naomba mnijibu maswali yangu kama nilivyopost asubuhi hii kuhusu maswala ya M-Pesa statement, kiuhalisia nimekerwa sana
 
habari, jitahidini kuboresha huduma zenu hasa intanet na mda wa maongezi hata wenyewe fikilien kifurushi cha 1000 mb8 hamuoni kama mnatutendea ndivo sivo wateja wenu?
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Mmmh.....nilishahama kitambo hamjielewi nyie vodacom mnapata faida kubwa sana mnabania Mb zenu huku nilipo najiachia tu na mb za mwezi mzima, poleni
 
Hello Vodacom Tz naulizia huduma ya "who called" huduma ya kupata taarifa ya waliokupigia simu inapokuwa haipo hewani. Nimejaribu kuitafuta huduma hii bila mafanikio au labda nimesahau jinsi ya kujiunga na huduma hiyo.
 
Kwann Voda ukiweka buku ukitaka kununua bando la Mb 500 unaambiwa Pesa haitoshi ongeza Pesa kulikoni kweli kazi kwangu
 
To be honest, nimehama voda kwa sababu ya huduma zenu mbovu hasa kwenye suala la internet ns bandles, hamueleweki
 
Nilinunua kifurushi cha wiki tar 10/3/2016 cha 1.2GBb (Sh. 4,000) kilichopaswa kuisha tar 17/3/2016. Nilikinunua mida ya saa saba kufika sa tisa siku hiyo hiyo kimeisha. Nacheki Salio hamna kitu. Nilipiga customer care mhudumu akaniambia hana access ya kuona matumizi yangu nitajibiwa baada ya masaa 24. Kimya mpk leo..... TCRA MKO WAPI MTUSAIDIE HUU WIZI WA MCHANA KWEUPE. Na ikithibitika nimeibiwa je sheria zinanilindaje kudai fidia?
 
VODA MMENIIBIA KIFURUSHI

Attachments

  • 1457878181857.jpg
    1457878181857.jpg
    49.2 KB · Views: 82
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Hivi nyie VODACOM niwaeleweje..? Huduma zenu mbovu sana nimetoa m-pesa kwa wakala pesa imeenda wakala hajapata meseji kwangu pia meseji haijarudi nikiangalia salio langu ni 0 pesa inahitajika haraka nimekaa zaidi ya lisaa 1 nasubiri tu napiga huduma kwa wateja mtangazo kibao. Jirekebisheni kwanza mnatoza gharama kubwa m-pesa wakati faida mnapata kubwa na mb pia mnabania che..!! nimewachoka kilichobaki ni kuhama.
 
Sina imani na Voda mie nshaamia zangu tigo maana ata university offer wameitoa sina cha kuwaelewa kabisa
 
Nna mashaka na watoa huduma zenu haswa wa customer care
Nlipiga cm lkn muhudumu hakuna alokuwa anajua
Nauliza ktu kingne anajibu kitu kingne
Mfano huwa nanunua kifurushi cha week cha internet lkn ajab yake nikienda kwenye kuangalia salio la bundle unaambiwa utatumiwa msg muda mfupi
Baada ya muda inakuja msg cna kifurushi kwa huo muda
Nkaamua kununua kifurushi cha cku
Nlikaa km cku mbili ya tatu mkaleta msg km nna mb kiasi gani,baada ya muda mkatuma msg kimeisha
Nkajiunga tena cha week ckuchukua muda msg yenu cna kifurushi nkaangalia salio hamnipi balance yangu
Nkapiga customer care nkakutana na mdada hajui lolote
Najiulizaga mnajua mnachokifanya nyie ama basi mnapeana kazi kiundugu eti nyie Voda
 
Back
Top Bottom