Vodacom Swaga

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
jamani kuna ndugu yangu amejiunga na vodacom swaga hivyo wanamkata pesa nyingi afanyaje kujitoa. ASANTENI
 
Mkuu nami imepata ugonjwa huo huo! Kila nikiongeza salio, wananiletea sms eti kuna pesa zimekatwa kwa ajili ya swaga na hivyo kunipunguzia salio langu.
 
Back
Top Bottom