Vodacom Streaming Speed, Amazing Admire the speed :)!

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Niaje mazee leo nime amua kuonyesha how fast voda ipo katika streaming nime make video iyo hapo ujionee mwenyewee.. Na angalia vizuri hapo nawatch kwa 720p HD! Voda keep ROCKING!

Last edited by a moderator:
kwa speed dar airtel wanaongoza, ila bei zao ni maalum kwa wale wakishua.
Vodacom speed ni ya kawaida tu hapa dar, ila bei zao ni poa SANA.
 
haziplay how kuna mengi Moja wapo inawezekawa iyo video haijasetiwa kuplay kwny mobile device.. kwako tatizo linasemaj?

inakuwa blank to bila maelezo yoyote mkuu ndio maana nashindwa kabisa kuelezea hata tatizo na kwa upande wakusema kuwa mpaka iwe imesittiwa kuonesha kwenye simu na wezakukubali kwani kunazingine zinaplay fresh tu.. thanks for ur reply
 
kwanini kwenye simu yangu samsung C6625 huwa hizo youtube za hivyo haziplay nini tatizo SHAROBALO na e2themiza

Kuplay hd sio network bali ni feature ya device mkuu.

Hd hasa kwa simu full hd inapatikana kwa 12xx kwa 7xx namanisha mfano 1200 kwa 760 so simu yako haiwezi kuplay hd.

Pili ili video ya hd iplay vizuri bila scratch inabidi network iwe na kasi na hapo tena device inabidi iwe na uwezo huo we simu yako ina 3.6mbps ambayo ni sawa na 450KBps hio ndio full speed unayoweza fikia ambayo huwez stream hd

So mkuu kama unataga hd kwa simu lazma uwe na high end smartphone kama samsung galaxy 3, lumia 920 na zifananiazo
 
Last edited by a moderator:
Kwa speed voda na tigo mnatisha ila hawa zantel ni ovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo tangu ijumaa hakuna huduma ya internet kwa anayenunua kifurushi kipya usilogwe ukaweka kifurushi utaliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa kaa chonjooooooo wamekula elfu 20 yangu ijumaa sina hamu naooo sasa niko na kitu cha Tigooo spidi 320 safi sana voda na tigo kwa kutoa huduma za uhakika.
 
Kuplay hd sio network bali ni feature ya device mkuu.

Hd hasa kwa simu full hd inapatikana kwa 12xx kwa 7xx namanisha mfano 1200 kwa 760 so simu yako haiwezi kuplay hd.

Pili ili video ya hd iplay vizuri bila scratch inabidi network iwe na kasi na hapo tena device inabidi iwe na uwezo huo we simu yako ina 3.6mbps ambayo ni sawa na 450KBps hio ndio full speed unayoweza fikia ambayo huwez stream hd

So mkuu kama unataga hd kwa simu lazma uwe na high end smartphone kama samsung galaxy 3, lumia 920 na zifananiazo

thanks sana kwa maelezo yako mkuu chief m na kama nataka ku upgrage kutoka 6.1 kwenda 6.5 inawezekana..
 
Back
Top Bottom