vodacom net bundle v/s airtel net bundle

NR'S

Senior Member
Feb 14, 2012
106
12
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo
 
wote wazushi wanakupa speed kubwa kwa first 2GB afu basi ukizimaliza speed inaporomoka ila voda kidogo afadhali mwanzo inakua about 300-500Kbps ikiporomoka inashuka to 5-20Kbps ambayo ni mbaya ila sometimes inapanda kidogo to 50kbps kudownload ni useless ila kubrowse si mbaya kivile. Ila Airtel mwanzo tu yenyewe ni about 100kbps ikifika 300 maajabu, mara mojamoja sana. Ikishuka speed sasa mpaka Google huwezi ifungua speed inakua 0.1-5Kbps just horrible
 
Mkuu next time zingatia colour selection, inatuumiza macho. Kuhusu hizo bundle hakuna jibu kamili inategemeana eneo uliopo kuna watumiaji wa internet kiasi gani, na ndio maana maana watu hwaishi kubishana ipi ina kasi.
 
wote wazushi wanakupa speed kubwa kwa first 2GB afu basi ukizimaliza speed inaporomoka ila voda kidogo afadhali mwanzo inakua about 300-500Kbps ikiporomoka inashuka to 5-20Kbps ambayo ni mbaya ila sometimes inapanda kidogo to 50kbps kudownload ni useless ila kubrowse si mbaya kivile. Ila Airtel mwanzo tu yenyewe ni about 100kbps ikifika 300 maajabu, mara mojamoja sana. Ikishuka speed sasa mpaka Google huwezi ifungua speed inakua 0.1-5Kbps just horrible

location yako ndio ipo hivyo mkuu... kwangu mimi airtel and voda zote zina rockin speed. 400 mpaka 800...
 
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo

3G zote zina speed nzuri, zingatia sana coverage na modem yako nazo huchangia speed nzuri.
 
location yako ndio ipo hivyo mkuu... kwangu mimi airtel and voda zote zina rockin speed. 400 mpaka 800...

Voda 800 nnaweza kuamini ila nayo ni peak 2 haikai sana ila Airtel kamanda hapo hiyo ni fix. Hawana hii speed sehem yeyote wanapiga kabobo 2. 400kbps nayo ni big mayb. Na uki2mia hicho kiasi cha kwanza inaporomoka, wakati unajiunga 2 wanakwambia hicho ki2 so i'm assuming kama unapata 800kbps(again i'm highly sceptical) after utapata abt 100kbps
 
mkuu hii ya tigo haikufai 3g sema ya 3.5g inafika 2.5mbps haikai sana @2800 @wk ila ipo limited kuwa kila siku inapewa 150 mb za kudownlolad na 2gb zakusafu every dy wk=150*7~1gb za kudowload tu na 2gb*7=14gb za kusaf at wk @2800.
mi natumia 8500@mwezi na pata 600mb za kudownload 50gb za kusaf kila siku.
speedo.png
 
kwa airtel nawashukuru kwa kutupa ka loop hole, nimeshusha vitu karibia 200 gb for free ingawa mmeshitukia sio mbaya tukawa tunagawana faida mnayotuchuma wabongo...thanx airtlel
 
hivi kati ya voda lile bundle la wiki na airtel bundle la weiki lipi ni zuri na vipi kuhusu download speed zao pls msaada wadau cuz juzi kt nilinunua la zantel la siku 3 likazinguwa nikashidwa hata ku upload hata page kuwapigia customer care wakasema eti 3g baado aipo fresh baadhi ya maeneo mpaka kariakoo

hii rangi kaka
 
asee acheni fix nyie. Mpaka hapo nimegundua we jamaa ni agent wao wa matangazo. Na assume kwa mzigo unaoshusha hapo una-unlimited net 4 a month si ndio? Unlimited ukijiunga(sijasikia redioni nina unlimitted net access hapa) unapata ujumbe kua utapata 3gb baada ya hapo speed itashuka. Na kweli b4 nilikua napata abt 400 sometymes 500, 600 kbps peaks, baada ya hizo GB kuisha sasa nachezea 20kbps na 10 tu. Sasa wewe umeshusha GB 11 una 800Kbps inamaana b4 ulikua na speed kiasi gani. Hata kama ni matangazo wazee muweke element za ukweli kidogo bana.
 
haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?
 
Vodacom ni kiboko.....ila mimi nakushauri kama unataka ku-download tumia hizi Peer 2 Peer kama Ares coz hiz zina tendecy ya ku-download kwa speed ileile hata kama zile 2gb zako zimeisha na umeletewa msg kwamba unaweza ku browse katika low speed...Trust me
 
asee acheni fix nyie. Mpaka hapo nimegundua we jamaa ni agent wao wa matangazo. Na assume kwa mzigo unaoshusha hapo una-unlimited net 4 a month si ndio? Unlimited ukijiunga(sijasikia redioni nina unlimitted net access hapa) unapata ujumbe kua utapata 3gb baada ya hapo speed itashuka. Na kweli b4 nilikua napata abt 400 sometymes 500, 600 kbps peaks, baada ya hizo GB kuisha sasa nachezea 20kbps na 10 tu. Sasa wewe umeshusha GB 11 una 800Kbps inamaana b4 ulikua na speed kiasi gani. Hata kama ni matangazo wazee muweke element za ukweli kidogo bana.

Mgeni3 hawezi kukudanganya hicho ni kichwa cha zamani sasa yupo busy tu. Better ukachukua busara kidogo kwake amefanya vipi hilo litakua la maana

haha mkuu kwani unadhani kila mtu ananunua bundles mkuu hehe?

Nafkiri sasa atakua kishaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom