VODACOM nao waanzisha sh moja kwa sekunde 24hrs

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Nimepata ujumbe huu toka VODACOM; HABARI NDIO HII: Ongea kwa Tsh. 1 kwa sekunde kila siku masaa 24 asubuhi, mchana, jioni na usiku mzima.

This is a good move ushindani uendelee... Wateja tufaidike na unafuu wa gharama za CM.
 
Nijuavyo mimi dakika moja ina sekunde sitini, sasa yaani nimechanganyikiwa kabisa hapo kwenye "sekunde moja kwa dakika".

Nilikua nimechoka sana. ila baada ya kusoma hii nimecheka sana.
Mkuu Jabulani hili jina ulilipata vipi? unajua mimi nimelisikia juzi tu kwenye kombe la dunia!
 
Waongo, wezi wakubwa hawa, hebu weka hiyo voha yako halafu upige, wamenitumia sms jioni hii ya kueleza hivyo but hakuna lolote
 
Kama ujuavyo, pamoja na kwamba jabulani imetumika katika WOZA 2010, ubunifu wake ulianza mapema kabisa na kwa mara ya kwanza ulitangazwa rasmi mwaka 2009 kuwa utatumika katika World Cup, so mimi nilishaujua mapema mwaka jana!
 
Waongo, wezi wakubwa hawa, hebu weka hiyo voha yako halafu upige, wamenitumia sms jioni hii ya kueleza hivyo but hakuna lolote
wao ni "Waongo, wezi wakubwa" na wewe ni mjinga, teja mkubwa!

providers wengine kibao wana hiyo plan long time ago
 
Waongo, wezi wakubwa hawa, hebu weka hiyo voha yako halafu upige, wamenitumia sms jioni hii ya kueleza hivyo but hakuna lolote

Wabongo bwana, simu unanunua mwenyewe, laini unachagua mwenyewe na salio unaongeza kadri unavyojisikia. Sasa wizi wa nini? Kama unaona waibiwa hama mtandao na si kupiga kelele tu paaah paah paaah paaah kama bata!
 
Nimepata ujumbe huu toka VODACOM; HABARI NDIO HII: Ongea kwa Tsh. 1 kwa sekunde kila siku masaa 24 asubuhi, mchana, jioni na usiku mzima.

This is a good move ushindani uendelee... Wateja tufaidike na unafuu wa gharama za CM.

Nataka kuwaelezeeni hawa vodacom wasijewakawapa filimeeee hii ni sheria walipewa! me najua fika hapo nyuma makapuni yote ya simu yalitangaziwa kupunguza gharama za kucharge wateja wao sasa wao nao wanataka kutudanganya and this goes to whole Mobile Companies wasitupe Filimeeeee hapa ati wamepunguza bei ni shiling kwa secnds waaache uongo ni sheria inafutwa na wasiwazuge wananchi kwani watu hapo nyuma kitambo walilalamika kuwa gharama ziko juu sana za makapuni ya simu.

I dont buy it never at all

Tunataka wapunguze na kwenye mambo ya data(intaneti) hapo ndio tutafaudu
 
Nataka kuwaelezeeni hawa vodacom wasijewakawapa filimeeee hii ni sheria walipewa! me najua fika hapo nyuma makapuni yote ya simu yalitangaziwa kupunguza gharama za kucharge wateja wao sasa wao nao wanataka kutudanganya and this goes to whole Mobile Companies wasitupe Filimeeeee hapa ati wamepunguza bei ni shiling kwa secnds waaache uongo ni sheria inafutwa na wasiwazuge wananchi kwani watu hapo nyuma kitambo walilalamika kuwa gharama ziko juu sana za makapuni ya simu.

I dont buy it never at all

mimi nadhani ni ushindani tu! Labda Voda wameguswa na lile tangazo la Zain linaloponda mabadiliko ya bei ikifika jioni. Hivi kuna sheria inayolazimisha bei? Mbona TTCL hawajapunguza ina maana wanavunja sheria hiyo?
 
TTCL kwasasa wana charge 1 shs per second day & night,!hii telecom industry ni monopolistic market, competition iko very stiff ukizubaa tuu unatupwa nje ya soko.
 
Back
Top Bottom