Vodacom mobile partner [huawei] na z-connect wizi mtupu

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,704
11,035
Wakuu;

Nasikitika kusema kwamba Vodacom, kwa kutumia Huawei mobile partners ambazo wanauza kwa bei ya juu sana wamefikia hatua ya kutuibia kwa kushindwa kuzuia virus aitwae Z-CONNECT wamefanikiwa kutuibia kwa virus huyo anadisconnect mtandao in every 1 minute hivyo kutuharibia downloead

tumeenda kwa wale jamaa wa customer service lakini wapi, tumeinstall new antivirus software bila mafanikio

Kwa sisi wenye hivyop vijamaa zaidi ya vitano ofisini tunaingia hasara tu, Sadly, wao wanakata tu pesa yao wakati wakijua kirusi huyo katoka kwao na si kwetu

PLEASE ... VODACOM, ITS INHUMAN TO STEAL FROM US
 
Mmejuaje kwamba ni kirusi ndio kinasababisha hilo?
 
Z-connect ni worm, anasumbua sana hasa dial-up network, jaribu kusearch neno Conflicker ukimuona huyo ndio mwenye tabia chafu ya ku-disconect network then kutakuwa na tools moja inaitwa burn hiyo ni conflicker remover then itamuondoa kisha weka antivirusi nzuri.

Labda kwa ushauri tafuteni Zantel cdma modem moja tu! inauwezo waku oparate computer zaidi ya 5 kama ukiifungia zile router zao au ukitengeneza network home ukafanya sharing ya Zantel modem, inaspeed nzuri sana hauwezi kulinganisha na ya Vodacom kamwe maana kama ni you tube unaangalia move mpaka mwisho bila buffering tena move ambayo ni kubwa alafu modem zao ni nzuri hazipati joto kamazingine maana joto ni dalili mbaya inamaanisha kuwa kuna loss of energy ambayo inakuwa transformed into heat energy.
 
Mmejuaje kwamba ni kirusi ndio kinasababisha hilo?

soma post yangu, nilikwenda kwa wale jamaa pale victoria ndio wakasema ni kirusi, pia my heading ilikuwa na kweshen mak [yaani alama ya kuuliza] naomba mods wairudishe ili ibebe maana halisi, yaani nalalamika na kuuliza at the same time!
 
Nimekupata mkuu.

Hiyo kweli inakera.

Mimi nginekushauri utafute jinsi nyingine ya kuingia kwenye internet. Kila mwenye tatizo hilo akifanya hivyo, then labda Voda wataliangalia kwa jicho tofauti. Ila mkiendelea kuwapa pesa kwa hizo dakika moja moja, mnakuwa hamjitendei nyie haki, na wala hamtendei haki maendeleo ya kitechnolojia nchini.

Kwa maelezo ya ThinkPad, kama target ya huyo kirusi ni any dialup connection, na huyo worm hajaletwa na Voda, then sidhani kama ni responsibility ya Vodacom kukusaidia. Mimi nilidhani labda huyo Z-Connect anakuja na CD uliyopewa na Voda.

Ila jinsi ya kuifanya Voda ijisikie kusaidia ni kuachana nayo na kutumia connection ya kampuni nyingine ambayo haiko affected na huyo mdudu. Wateja wakipungua pungua kwa sababu hii, then labda Voda watajisikia kusaidia.

Kumbuka hilo ni tatizo lako na sio la Voda. Computer yako ndiyo ina kirusi.

Mwisho sasa nijaribu kukusaidia:
Unatumia operating system gani?

Kama yote yameshingikana, na hauna mtu technical anyeelewa cha kufanya, jaribu ku-reinstall operating system. Hiyo inaweza kusaidia kumuondoa kwa muda. Halafu hakikisha computer yako inapata updates mara kwa mara. Hii inasaidia kuziba holes zinazotumiwa na hao wadudu kuingia kwenye computer yako bila wewe kujua.

Cha muhimu nakushauri wewe na wengine kutumia computer kwa kufikiria. Virus huwa kwa kawaida hawaingiii kwenye computer isiyotumika. Ni matumizi yako na matendo yako ambayo mara nyingi yanakaribisha hawa jamaa.

Kwa hiyo sioni kwa nini asirudi tena kama ukiendelea kufanya yale yale yaliyomleta huyo kirusi.

Watu tunakumbuka kila mara kufunga mlango wakati tunaondoka nyumbani. Mara nyingi tunakumbuka kushusha vioo na kufunga milango ya gari baada ya kupaki. Tena saa nyingine tunajaribu kuufungua mlango kuhakikisha kwamba kweli umefungwa.

Cha kushangaza hatufanyi hivyo hivyo kwa computer. Kupeleka gari service hatusahau, lakini ku-update computer au anti-virus tunaona ni kero. Halafu tanashangaa kwa nini hawa virusi wanakuwa tatizo.
 
Sidhani kama ni sawa kuwalaumu Voda au Hauwei kwa vile wewe umepata virus kwenye PC yako, sio wao waliokupa huyo virus, anyway jaribu njia hii nimecopy sehemu

you should delete your connection and make a new connection with that name(z-connect)
and connet to the internet with this
virus can't make a connection becouse there is one with same name
 
Pia nimesona kuwa A Squared Antivirus Free Edition inaweza kuitoa hii virus.

Step 1: Download, Instrall and Run CCleaner Ina-delete temporary files kwenye PC
http://download.cnet.com/ccleaner/?tag=mncol

Step 2: Download, Install A-Squared AV (Washa setting ya heuristic's scanning)
Boot PC into Safe Mode, (Wakati compyuta inawaka, kabla Logo ya Windows haijatokea bonyeza F8, kisha chagua Safe Mode)
Run Hiyo A-Squared AV. Hii itaondoa hiyo Z-connect.
http://download.cnet.com/A-squared-Free/3000-2239_4-10262215.html
 
Wazee nashkuru sana!!! Haya ndiyo yatufnyayo kuwa members wa JF
 
Nimekupata mkuu.

Hiyo kweli inakera.

Mimi nginekushauri utafute jinsi nyingine ya kuingia kwenye internet. Kila mwenye tatizo hilo akifanya hivyo, then labda Voda wataliangalia kwa jicho tofauti. Ila mkiendelea kuwapa pesa kwa hizo dakika moja moja, mnakuwa hamjitendei nyie haki, na wala hamtendei haki maendeleo ya kitechnolojia nchini.

Kwa maelezo ya ThinkPad, kama target ya huyo kirusi ni any dialup connection, na huyo worm hajaletwa na Voda, then sidhani kama ni responsibility ya Vodacom kukusaidia. Mimi nilidhani labda huyo Z-Connect anakuja na CD uliyopewa na Voda.

Ila jinsi ya kuifanya Voda ijisikie kusaidia ni kuachana nayo na kutumia connection ya kampuni nyingine ambayo haiko affected na huyo mdudu. Wateja wakipungua pungua kwa sababu hii, then labda Voda watajisikia kusaidia.

Kumbuka hilo ni tatizo lako na sio la Voda. Computer yako ndiyo ina kirusi.

Mwisho sasa nijaribu kukusaidia:
Unatumia operating system gani?

Kama yote yameshingikana, na hauna mtu technical anyeelewa cha kufanya, jaribu ku-reinstall operating system. Hiyo inaweza kusaidia kumuondoa kwa muda. Halafu hakikisha computer yako inapata updates mara kwa mara. Hii inasaidia kuziba holes zinazotumiwa na hao wadudu kuingia kwenye computer yako bila wewe kujua.

Cha muhimu nakushauri wewe na wengine kutumia computer kwa kufikiria. Virus huwa kwa kawaida hawaingiii kwenye computer isiyotumika. Ni matumizi yako na matendo yako ambayo mara nyingi yanakaribisha hawa jamaa.

Kwa hiyo sioni kwa nini asirudi tena kama ukiendelea kufanya yale yale yaliyomleta huyo kirusi.

Watu tunakumbuka kila mara kufunga mlango wakati tunaondoka nyumbani. Mara nyingi tunakumbuka kushusha vioo na kufunga milango ya gari baada ya kupaki. Tena saa nyingine tunajaribu kuufungua mlango kuhakikisha kwamba kweli umefungwa.

Cha kushangaza hatufanyi hivyo hivyo kwa computer. Kupeleka gari service hatusahau, lakini ku-update computer au anti-virus tunaona ni kero. Halafu tanashangaa kwa nini hawa virusi wanakuwa tatizo.
Manitoba kumbe bado upo, tulikumiss kweli hasa katika ile topic ya CRDB Visa Card mtandaoni. Nimekukumbuka saaaana mkuu.

Haya sasa hebu turudi kwenye mada hii. Hata mimi ni mmojawapo wa watumiaji wa hiki kijamaa (Mobile Partner Huawei). Yawezekana hata mimi ni mmojawapo wa wanaopata usumbufu na hiki kijamaa. Chenyewe kimeandikwa speed yake ambayo 7.2Mbps lakini ukishai-connect kwenye mtandao inakuandikia 236Kbps ni mara chache sana kukuta ina speed hiyo ya 7.2Mbps. Je, hili ni tatizo la kirusi au kampuni yenyewe ya Voda? Kwa hapa mimi nadhani ni Vodacom wenyewe.

Pia kuhusu ku-update Anti-virus. Mimi natumi Avira Antivir Personal-Free Antivirus. Mara kadhaa nimejaribu ku-update nikaona naingiliwa sana. Maana utakuta file lina 15Mb na mimi nalipia 15,000 per 100Mb sasa kila siku kama na-update si nitaingiliwa sana.

Badala yake nikaamua, watu wote waingie ndani ya nyumba kama wazuri au wabaya mbele kwa mbele halafu baada ya kila muda fulani ndio na-scan PC nzima kuona nani ameingia bila kustahili.
 
Asante mkuu, natumai mambo yako yananyooka.

Driver ya device yako ndiyo inayo-report speed ya device kwa OS yako baada ya kuipata kutoka kwa device yako au vinginevyo. Sioni ni jinsi gani virus anaweza kusaidia kukudanganya hiyo speed yako, unless kuna mtu anajua virus anayefanya hivyo. Na pia sioni kwa nini mtu atatengeneza virus ili tu ikudanganye speed ya device yako. Halafu kumbuka pia hiyo speed unayoonyeshwa ni uwezo wa juu tu wa hiyo device, haimaanishi utaweza kupitisha data kwa speed hiyo. Speed ya ukweli unayopata inakuwa chini ya hapo, na saa nyingine chini sana tu.

Kwa kawaida mimi huwa situmiagi anti-virus, na sijawahi kuwa na matatizo na virus kiasi hicho. Ukiona unavamiwa kwa sana na virus ujue kuna kitu hakijawekwa fresh kwenye computer yako, au kuna kitu hukifanyi sawa sawa. Hakuna muujiza. Kuwa na anti-virus isiyo apdetiwa ni sawa na kujilinda kwa bunduki isiyo na risasi. Wakija wenyewe kuchukua vyao bora tu ufiche hiyo bunduki maana itakuwa inawatia hasira zaidi; badala ya kuchukua vyao na kuondoka wanaweza kuamua kukudhuru.

Kwa hiyo kama huwezi ku-update anti-virus yako, then ujue tu kunauwezekano mkubwa haitakusaidia pale utakapoihitaji zaidi. Hiyo plan yako ni expensive, na kwa kweli naelewa kwa nini kufanya updates za anti-virus (achilia mbali za OS) inaweza kuwa tatizo. Kama ni laptop, uwe unaenda nayo cafe kwa ajili ya updates (za OS na anti-virus), inaweza ikawa rahisi zaidi. Au tafuta plan ambayo ni ya bei rahisi zaidi ya hapo.
 
Wazee nashkuru sana kwa msaada wenu lakini haka ka-mdudu bado kameng'ang'ania humu kiasi kwamba nashindwa kufaidi JF

Gademmitt!!
 
ukweli sio kama vodacom wameplant z-connect no.z-conect ni virus,na anatoka bila tatizo
mimi nimeshafanikiwa kutoa zaidi ya computer tano na mpaka leo zipo ok.
so clean your pc.tatizo sio mobile connect
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom