VodaCom mmeniamsha saa 7 usiku!

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,635
3,655
Nimeshtuka usingizini,baada ya simu yangu kutoa mlio kuashiria kwamba nimetumiwa message(sms).
Kufungua sms,imetoka vodacom kwenye number 15500 inasema ''Fabrice Muamba wa Bolton Wanderer,bado yupo mahututi baada ya kuzimia katika robo fainali la kombe la Uingereza dhidi ya Tottenham"

kulikuwa na umuhimu gani voda kuituma muda huo? Pili,tangu saa 7 hiyo mpaka muda huu saa 9, sms hiyo imekuwa ikijirudia!!Imenibidi kutoa mlio maana ni kero!!Tatu, wananijazia inbox bila sababu!

Pendekezo!
Kwa vile mnajua mie siko nje ya TZ, na nyie mko humu humu TZ, hakuna mambo ya time difference,please rethink jinsi , muda wa kusambaza hizo sms zenu!!
 
Wenye mitandao ni kero sana.Mi hao Vodacom wameniibia umeme nilionunua kwa m-pesa mpaka sasa one wk imepita sms ya token haijaja,walisema imetumwa TANESCO.Nilienda kuzua zogo pale Ohio mpaka sasa bado.Matapeli.
 
I have been getting similar messages from the same number. Naamini hizo messages zinalipiwa ingawa sijaweza ku track ni how much they charge for each message.. Da hii mitandao imekua balaa. Ukipiga simu kabla ya kupokelewa au kuambiwa haipatikani ni lazima usikilizishwe matangazo kwanza. inaboa sana. TCRA ndo hao wamekaa kugawana dollars tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom