Vodacom mbona wahuni

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini
 
Sio hao tu. Hata TIGO sio rahisi kupata Mini xtreme. Kila ukitaka kujiunga unaambiwa nafasi zimejaa. Hata kama itakuwa saa sita usiku. Sasa nafasi hizo zinajaa saa gapi?
 
tigo is the best,hakuna kujiunga,hakuna limit ya muda it is really 24 hours 1ths per second tigo kwa tigo
tigo express yaself for life
 
Kwani wewe hujui kuwa voda ni pango la wanyang'anyi?
Sehemu yoyote ambayo mwizi ana umiliki , basi ujue hapo hapana wema wala huruma.
Wizi mtupu.
 
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini
Wahuni kwani kidogo? Maana in fact wamecheki wakaona kuanzia 5pm to 9pm watu wengi wanakuwa na nafasi ya kuongea na simu wakaona wai-exclude. Ukirequest balance wanakuwekea hako katangazo kao ka habari ndio hii na wanasema exclude 5-9pm.

The best way ya kuwafundisha adabu ni kutumia voda muda wowote other than 5-9pm and then kwa muda huo unatumia tigo then watashika adabu wataacha ujinga.

Kwani..si walikuwa hawataki mambo ya sh 1 kwa sekunde wakijivunia kuwa na wateja wengi ... what do u think happenned? watu wamenunua line za tigo wakapunguza matumizi kwenye voda big time hadi wenyewe wamechemsha wameamua kufuata mwongozo wa tigo japo kwa shingo upande!

That's the beauty of competition. siku za mwizi ni 40. Watarudi kwenye mstari tu!
 
wahuni kwani kidogo? Maana in fact wamecheki wakaona kuanzia 5pm to 9pm watu wengi wanakuwa na nafasi ya kuongea na simu wakaona wai-exclude. Ukirequest balance wanakuwekea hako katangazo kao ka habari ndio hii na wanasema exclude 5-9pm.

The best way ya kuwafundisha adabu ni kutumia voda muda wowote other than 5-9pm and then kwa muda huo unatumia tigo then watashika adabu wataacha ujinga.

Kwani..si walikuwa hawataki mambo ya sh 1 kwa sekunde wakijivunia kuwa na wateja wengi ... What do u think happenned? Watu wamenunua line za tigo wakapunguza matumizi kwenye voda big time hadi wenyewe wamechemsha wameamua kufuata mwongozo wa tigo japo kwa shingo upande!

That's the beauty of competition. Siku za mwizi ni 40. Watarudi kwenye mstari tu!

na bado,
lazima kijasho chembamba kiwatoke mwaka huu.
 
Kama ni hivyo basi ni wizi mtupu..matangazo yao hayakuweka hiyo limit ya muda
 
Sio hao tu. Hata TIGO sio rahisi kupata Mini xtreme. Kila ukitaka kujiunga unaambiwa nafasi zimejaa. Hata kama itakuwa saa sita usiku. Sasa nafasi hizo zinajaa saa gapi?

Afadhali Tigo kidogo, Kuliko hao jamaa wa VODA, mimi hiyo mini extreme kila siku naiotea, Inategemeana wewe unatuma meseji yako saa ngapi. Mimi huwa nategesha meseji iende saa 6: 30 usiku kila siku naipata. Jaribu kutegesha meseji wewe lala tu ukiamka asubuhi una dakika zako 25.
 
Nazichukia sana kampeni zote hizi za makampuni ya simu. Watanzania mtahamahama mara ngapi mkifuata mtelemko? If they are really customer focused, waje na kiwango kimoja, cha chini, kwa makampuni yote muda wote.

Hali ya sasa, mteja mmoja anaibiwa, faida ya wizi inasambazwa kwa wateja wengine.

Mimi sihami, nilikoanzia ni hukohuko.

Sidanganyiki
 
Hamjalazimishwa kuwa na simu. Kwani kabla ya simu mliishije? Tatizo nyie si watu wa biashara. Wengi mmeajiriwa
 
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini

Sio hao tu. Hata TIGO sio rahisi kupata Mini xtreme. Kila ukitaka kujiunga unaambiwa nafasi zimejaa. Hata kama itakuwa saa sita usiku. Sasa nafasi hizo zinajaa saa gapi?

Kweli isee, inauma ile mbaya, kwani mamlaka ya mawasiliano Tanzania haioni hili? natamani JF ndo ingekuwa inaendesha nchi...! aah! hii ni kichefuchefu tena wizi mtupu.
 
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya 10,000 nikaongea kwa muda mfupi voda kwenda voda ikaisha, nikawapigia customer care wakasema promotion hiyo inakatika saa 11 hadi saa tatu usiku, lakini katika matangazo yao wana mislead watu kwa kusema ni kwa siku nzima. ndugu zangu huu uhuni wa kudanganya watumiaji voda wataacha lini

Pole mkuu,
Vile vipeperushi wagawa wale vibarua wao kwenye mataa wameweka vimaandishi vidogo sana pale chini yake kuwa (except 5:00 - 9:pm). Unajua mbinu za biashara ni nyingi na katika marketing pale ambapo unapatia faida basi panakuwa invisible kidogo!!! Kama ulipiga muda huo nilioonyesha hapo juu jua dakika moja ni almost 500/=!!! Promotion yoyote ni lazima ubuni mbinu ya kuifidia asikudanganye mtu kabisa, hakuna cha bure hapo!!!
 
Nazichukia sana kampeni zote hizi za makampuni ya simu. Watanzania mtahamahama mara ngapi mkifuata mtelemko? If they are really customer focused, waje na kiwango kimoja, cha chini, kwa makampuni yote muda wote.

Hali ya sasa, mteja mmoja anaibiwa, faida ya wizi inasambazwa kwa wateja wengine.

Mimi sihami, nilikoanzia ni hukohuko.

Sidanganyiki

Haya Ephraim Umesikia? Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom