vodacom m-pesa

chameli

Senior Member
Jul 23, 2011
132
58
Eti hii 25% ya nyongeza ukinunua muda wa maongezi kwa mpesa eti ni uwongo hupati kitu
 
Kweli we kilaza maana hii haihitaji hata kukusanya data ili kuifanyia research,si ununue tu vocha ya m-pesa uone habari yake,wenzio sisitunakula 30%kila tunaponunua vocha,we kaa tu na litigo lako.
Eti hii 25% ya nyongeza ukinunua muda wa maongezi kwa mpesa eti ni uwongo hupati kitu
 
kwa sasa imekuwa 25% hata ukiangalia salio wanakuandikia hivyo lakini hupati hiyo 10% wala 25%

chameli

ni kweli ukinunua muda wa maongezi kwa kutumia M-PESA unapata bonus ya 25%, hiyo 25% bonus inawekwa sehemu tofauti na salio lako la muda wa maongezi wa kawaida

ukitaka kujua bonus yako bonyeza *102**01# ok
 
Back
Top Bottom