Vodacom M-PESA ni wezi

dmatemu

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
956
549
Wadau napenda kupata maoni kuhusu WIZI wa dhahiri kabisa unaofanywa na vodacom kupitia MPESA. hawa jamaa nashindwa kuwaelewa pale wanapokukata sh. 200 unapochukua (sio kununua) muda wa maongezi toka kwenye akaunti yako ya MPESA. Hivi hii ni haki? Ukinunua sh 500, inabidi uwe na 700 ili ukatwe 200. Hawa jamaa naona wananufaika na kupata super profit kutokana na mbinu zao za ujanja ujanja na wizi wizi tu.
 
Iyo option itumie wakati wa dharula tuu otherwise nenda vibandani kanunue vocha!
Kama ni kweli unaweza liepuka hilo personally sijawai nunua vocha via iyo system
 
Wadau napenda kupata maoni kuhusu WIZI wa dhahiri kabisa unaofanywa na vodacom kupitia MPESA. hawa jamaa nashindwa kuwaelewa pale wanapokukata sh. 200 unapochukua (sio kununua) muda wa maongezi toka kwenye akaunti yako ya MPESA. Hivi hii ni haki? Ukinunua sh 500, inabidi uwe na 700 ili ukatwe 200. Hawa jamaa naona wananufaika na kupata super profit kutokana na mbinu zao za ujanja ujanja na wizi wizi tu.

rekebisha kidogo mkuu au mimi ndo sijakuelewa,,,unaponunua muda wa maongezi au unapotoa pesa katika akaunt yako? ukiwa unatoa pesa hata benki zinakiwango chao cha kukata ,sioni shida sababu ni biashara lakini unaponunua muda wa maongezi hukatwi chochote sana sana unapata asilimia 25 ya ulichonunua
 
Sasa kama huwez kukatwa hiyo Tsh.200/=
Panda gari uzifuate huko ziliko
Hv kuna Great thinker ambae bado ana2mia M-pesa kutoa pesa
mm ni mjanja huwa naweka 2 kwa ajili ya kununua muda wa maongez 2.
 
sidhan kama muanzisha thread ana hakika na akiongeacho. Ukinunua muda wa maongezi vodacom hawakukati ela ila unaongeza asilimia 25. Jamani tusipende kuongea mabaya yasiyo kuwa na ukweli
 
rekebisha kidogo mkuu au mimi ndo sijakuelewa,,,unaponunua muda wa maongezi au unapotoa pesa katika akaunt yako? ukiwa unatoa pesa hata benki zinakiwango chao cha kukata ,sioni shida sababu ni biashara lakini unaponunua muda wa maongezi hukatwi chochote sana sana unapata asilimia 25 ya ulichonunua

Ur damn right, nanunua airtime daily bado experience iyo kitu
 
sasa kuna nchi moja au zaidi ulaya

ukinunua vocha dukani ndio unalipia zaidi, ukifanya mobile au top-up kwa mobile, internet banking, phone banking hauchajiwi zaidi. ni kama unapigwa adhabu kwa kuchukua kile kikaratasi (environment issue inaingia hapo)

jitahidi ununue vibandani labda iwe unahitaji haraka eeehh ok. ila duh 500 wanachukua 200 that is a lot of money bora wangekula between shs 10 na 50.
 
sna uhakika kama wanafanya ivyo nanunua muda wa maongezi through that system lakini sjawaiona makato hayo, nakushauri nenda vodashop waombe statement yako then angalia vizuri, inawezekana ulituma ela ukakatwa iyo 200 na sio muda wa hewani
 
sasa kuna nchi moja au zaidi ulaya

ukinunua vocha dukani ndio unalipia zaidi, ukifanya mobile au top-up kwa mobile, internet banking, phone banking hauchajiwi zaidi. ni kama unapigwa adhabu kwa kuchukua kile kikaratasi (environment issue inaingia hapo)

jitahidi ununue vibandani labda iwe unahitaji haraka eeehh ok. ila duh 500 wanachukua 200 that is a lot of money bora wangekula between shs 10 na 50.

mkuu ushasema ulaya sio tz maana hapa kama hujui kitu utajuta kinomanoma..
 
Mkuu nadhani umechanganya kidogo, utakatwa hiyo 200 kama utatuma hela na sio kununua muda wa maongezi, jaribu kufanya uchunguzi and revert to prove me wrong. tena ukinunua muda wa maongezi kwa kupitia m-pesa account yako unaongezewa asilimia 10 ya kiasi ulichonunua
 
Mtoa mada afafanue vizuri kwani ukinunua muda wa maongezi M-PESA wanakuongezea 25% na siyo kuongeza hizo 200/=

MIZAMBWA
INANIUMA SANA
 
Na M- PESA uwizi mkubwa unafanyika pale unapotaka
kuangalia balance yako, wanakukata Tsh. 50 kila mara unapocheki balance, wakati zile hela ni zangu na haitakiwi wakate hasa hata kuangalia salio, weziiiii
 
watamudu vipi kuendesha huduma zao kama wateja hamchangih gharama za uendeshaji huduma? Hata benki kuna makato yake ingawa hakuna makato ya kuangalia salio.lakini kila mwezi wanakata kiasi fulani cha pesa kwa ajili ya gharama za uendeshaji.
 
Back
Top Bottom