Vodacom KUTUWEKEA LAKI NANE KWENYE AKAUNTI ZETU NI UTAPELI

Sawa nimeiona wakiianzisha hiyo tutashukuru ni huduma nzuri itatusaidia mambo ya kuenda kupanga foleni kwenye ma ATM na mabenk yatakua hamna mambo yote yatakua electronical.

Mkuu mfumo wa mobile banking nijuavyo si mpya ni siku nyingi tu nmb wanatoa huduma hii nadhani pia benki nyingi kama si zote zipo on the way
 
Ishu nikwamba kwa style hii kila mwenye account ya m pesa amehifadhi pesa ya E. chenge

a ha..ha..haaaaaaa
 
Jaman wako katika majaribio ndiyo maana ukiingia tu unaambiwa welcome to future banking hata si utapeli kwa kuwa hiyo ela kwanza hujaiweka. Wanatengeneza system ya kukuwezesha mtumiaji wa simu kuwa connected na bank yako crdb washaanza kutoa huduma hii.
 
Back
Top Bottom